Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Na vipi kuhusu yule Mzee mwenye nyumba yake Mbezi Beach anasemaje kuhusu deni? Au anatumiwa na Diamond?
 
Machawa huwa mnachekesha, sasa huyu Mmakonde kuvuta bangi na kurusha clip mtandaoni mnamuona zinamtosha?
 
Kawekeza nyimbo 9 na video 9 tuu kati ya 59 alizofaidika nazo...count that
 
Sawa mla ngada
 

Hapa umeandika haujamsikiliza Harmonise, una majibu yako, na haujataka kujiweka nafasi ya harmonise!!!!!!!!!!!

yaani wewe umezidi viwango vya chwa, ushiga na mahaba!!!! umepitiliza

Na kibinadamu sio ajabu kukuta kuna magoli yanatoka kupitia mikono na yanaishia na sabuni bafuni; kuwa liliingiaje kwa mama yako ndio tunashangaa!!!...
 
Kuna baadhi ya ngoma kama angefanya akiwa wasafi zingekuwa nyimbo za taifa.
 
Nimeisikiliza Sam Misago ,sijui labda ww mahaba yako kwa Konde.
 
Sawa hata maandishi yako nakuona wewe kama choko tuu nipo sawa?by perception
 
Wewe huna tofauti na Mama levo, hawa watoto hata wawe na pesa kiasi gani siwezi kujitowa akili na kuwa chawa.

Tunakoelekea mtapigwa bolo.
Unajua wewe jamaa nilisha ku ignore tangu 2013 yani nikiona umeandika ninavuka...usini quote upuuzi wako kwa sababu ubongo wako umejaa minyoo, kiufupi hauna akili, wewe ni taahira fulani hivi. I changed my id hata havyo don't bother to search
 
Huyu jamaa anapenda kutafuta sympathy tu in public ila jamaa ni mpuuzi cjawai ona wewe sheria inayo govern literally and artistic work tz inaeleza haswa kabsa kama mtu yupo kwnye mkataba na akaona kua mkataba unamnyonya zaidi na anachoingiza anaeza Ku revise iyo contract na kuweka makubaliano baina ya pande mbili zote na ikishindikana basi ukivunja mkataba kama uyu ngombe harmo ni lazima ulipe tu na pia mpka unaingia mkataba si unaona kbsa asilimia 40 umepewa kama hutaki si uache mbna alikubali sasa afu anakuja kutueleza upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…