Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Wacha wee...

Kwahiyo tukianza kuzungumzia uwezo wa akina Aslay utataka tumlinganishe na akina Chris Brown, au?!
Hii nilikuwa nakujibu hapa..

Yaani Harmonize aliyekuwa ana-copy kila kitu kutoka kwa Diamond... kuanzia style ya kuimba hadi swagga halafu bado anaye-copy ndie awe threat kwa mwanzilishi?!

Ndio nikakuuliza unamjua Young Thug? Na unamuona Lil Wayne wa sasa? Umepata jibu sasa ya hilo neno lako hapo threat kwa mwanzilishi?
 
We sio mzima hata unachoandika sielewi haya mkumbatie bwana wako Diamond maana kila akikoselewa mshipa wa kalio lako una simama
 
Mondi kamnunulia mpaka ndinga Baba Level ili amdiss Konde ila watu bado wanamsakama dogo [emoji3]
 
We sio mzima hata unachoandika sielewi haya mkumbatie bwana wako Diamond maana kila akikoselewa mshipa wa kalio lako una simama
Hoja huwa inapigwa kwa hoja na kama una uwezo mzuri wa kufikiri na akili timamu lazima huwezi kuanza kutoa matusi na kejeli

Very simple na haiwezekani huyu Diamond ndio akawa chanzo cha wasanii wengi kushindwa kufanikiwa ktk Carrier zao

This world is not simple as that as you think, Nenda kamwambie msanii wako apambane kufanya kazi nzuri na zitafika mbali na sio kutafuta huruma ya watu
 
Hakuna kipya kilichosemwa ukisikiliza nyimbo zake alizotoa kuanzia Hainistui mpaka usia zote alikuwa anapita humo humo tena kwa vijembe 🐒
Vijana tafuteni hela. Mwaka unaanza mpaka unakatika mko busy kuwa misukule wa domo na mbowe.

Mtakua lini ??

Ndio maana vjana wa sasa mnakalia chuma vibaya mnooo.
 
Kingine wanashangaza kusema dogo arudishe fadhila kalipa milioni 500 hiyo sio fadhila tosha? Maana wao kama wanasema walimsaidia basi wangemwacha aende bure kuwa tulikusaidia na huo ndio msaada hutaki chochote in return, ila kumlipisha ule sio msaada, na hiyo fadhila kalipa na amerudisha ila bado wanakunja tu [emoji3]
 
Sina timu ila nimeangalia mahojiano ya konde ana hoja ya msingi yeye amekubali kwamba D amemfanyia wema ila anachopinga D kuendelea kumuwekea vikwanzo hata kama mtu umemsaidia akishindwa kukupa shukrani ndio umtengeze zengwe la Fitina hii si sawa.
Yani nimeangalia video yote YouTube,, kwa kweli mmakonde kapambana mpaka anatia huruma,, kifupi wanamuonea hawa dabliuusiibii
 
Angekuwa muoga wa kutaka Kiki angeongea siku zile nyuma wakati anatoka. Tatizo watu ni uteam unawasumbua hata kwenye kweli mnabaki kumponda mtu
Na ule ndio ulikuwa wakati sahihi kabisa kama angekuwa anataka kiki, ila hakuwahi kuongea why now?
 
Hata Diamond alifanyiwa figisu na Clouds Lakini Alishinda vita

Why Harmonize kwake inakuwa Ngumu
 
Diamond alivyoachana na Clouds,waliacha kupiga nyimbo za WCB walifanya kila Njia kumshusha Diamond

Na Sijawahi kumuona Diamond akilialia kama anavyofanya Harmonize

Bali aliwekeza Nguvu na Akili kwenye kufanya kazi Na kutengeneza Fanbase yake

Harmonize yeye anashindwa nn?
 
Awekeze Nguvu kwenye kufanya Kazi nzuri Na Atengeneze fanbase yake

Mbona Diamond aliweza hilo, kipindi WCB na Clouds Wana bifu Diamond hakuwenda kwenye media kila siku kulalamika

Bali alifanya kazi na akatengeneza fanbase yake,
Harmonize yeye anashindwa nn?
 
Pole bwana naona umeumia saaaaana!!
 
Milioni 600 Nyingi sawa 😂 Ushatoa Hiyo Hela Tia Ngoma Kali Basi

Mbona kila siku unawaongelea WCB 😅
 
Na maza anamuibisha sana mshikaji.. ndio maana akamwekea yule msela amtulize kidogo speed aisee [emoji3]
 
Watajuana waao wenyewe, si wapigane tyuuh lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wabongo bhna naona mshakua brainwashed na Wasafi classic ni kawaida mtu alikua anatakiwa ajitengemee shida kujaribu kumshusha anapojaribu kujitegemea

Harmonize naona ameongea maeneno general sana ya tabia za ma boss wa ki Tanzania ukiachana na mtu muache endelee na maisha yake usijaribu kumuua ili aonekane alifanya mistake kutoka kwako acheni ushabiki wa kishamba sukumeni mziki uende sio unafiki
 
Unajua wewe jamaa nilisha ku ignore tangu 2013 yani nikiona umeandika ninavuka...usini quote upuuzi wako kwa sababu ubongo wako umejaa minyoo, kiufupi hauna akili, wewe ni taahira fulani hivi. I changed my id hata havyo don't bother to search
Narudia tena, hapa mjini mkiendekeza njaa na kujifanya uchawa ndio kazi yenu ni lazima upigwe bolo hakuna namna.

Unanifuatilia tangu 2013 so what? Msunuu, Fuseki Fanculo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…