Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Hii nilikuwa nakujibu hapa..Wacha wee...
Kwahiyo tukianza kuzungumzia uwezo wa akina Aslay utataka tumlinganishe na akina Chris Brown, au?!
Yaani Harmonize aliyekuwa ana-copy kila kitu kutoka kwa Diamond... kuanzia style ya kuimba hadi swagga halafu bado anaye-copy ndie awe threat kwa mwanzilishi?!
Ndio nikakuuliza unamjua Young Thug? Na unamuona Lil Wayne wa sasa? Umepata jibu sasa ya hilo neno lako hapo threat kwa mwanzilishi?