Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Tueleweshane.

Harmonize alimpigia simu Rais ili amsaidia katika kuuvunja mkataba?

Huo mkataba haukua na get out clause?
Watu wapuuzi sana yaani wanamlaumu Domo utadhania alimshikia fimbo harmo ili asaini
 
Back
Top Bottom