Hakuna kipya kilichosemwa ukisikiliza nyimbo zake alizotoa kuanzia Hainistui mpaka usia zote alikuwa anapita humo humo tena kwa vijembe 🐒Kama umefuatilia vyema interview yote, utabaini hakuwa na nia ya kuzungumza alicho zungumza, ndio sababu ameweka wazi ni mara ya kwanza kuzungumza kwa kina alichozungumza kuhusu kuondoka kwake wcb na maswala mengine tusiyokuwa tunafahamu.
Akili zako ni za kushikiwaMsikilizeni harmonize hadi mwisho alafu ondoa utimu kabisa .angalia kinachozungumzwa utagundua pale wcb kuna fitna kubwa sana .haswa hao wazee wakina fella.sallam hapo ni majungu na kuvunjiana nazi.mimi sipendi mziki na siwafuatiliii sana lakin alichoongea harmonize na alichofanyiwa manara simba kama vinataka kulandana hivi .sema tu manara hakulipa milion 600.
Kwa maelezo ya harmonize ni kuwa hapo wcb mondi anapelekeshwa na hao wenye vitambi .kuwa harmonize atamuua mond kimziki.ila hadi sasa mond sion anachoimba katika miaka hii miwili iloyopita
Full time
Harmonize 7 vs wcb 0
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
PointSwala la Harmonize kujilinganisha na Mond iwe kwa pesa&investment, mafanikio kimziki, fanbase, Exposure na mambo mengine ni ujinga usio na kikomo, ambao umetamalaki kwake mpaka kwa mashabiki zake maana ukweli unafahamika kuwa hafiki hâta 50% ya Mond kwa chochote kile.
Kimziki ameshafeli, hakuna hâta ngoma yake ambayo imeenda mbali tangu atoke WCB, tofauti na KWANGWARU ambayo ilibebwa na uwepo wa huyo anaemtukana leo, ni ngoma gani nyingine kubwa aliyowahi kufanya??
Hiyo full-time ya 7-0 inamsaidia nini Harmonize? Labda mimi ndo ninakuwa mzito kuelewa, itamsaidiaje?Msikilizeni harmonize hadi mwisho alafu ondoa utimu kabisa .angalia kinachozungumzwa utagundua pale wcb kuna fitna kubwa sana .haswa hao wazee wakina fella.sallam hapo ni majungu na kuvunjiana nazi.mimi sipendi mziki na siwafuatiliii sana lakin alichoongea harmonize na alichofanyiwa manara simba kama vinataka kulandana hivi .sema tu manara hakulipa milion 600.
Kwa maelezo ya harmonize ni kuwa hapo wcb mondi anapelekeshwa na hao wenye vitambi .kuwa harmonize atamuua mond kimziki.ila hadi sasa mond sion anachoimba katika miaka hii miwili iloyopita
Full time
Harmonize 7 vs wcb 0
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
[emoji204][emoji204][emoji204][emoji204]Msikilizeni harmonize hadi mwisho alafu ondoa utimu kabisa .angalia kinachozungumzwa utagundua pale wcb kuna fitna kubwa sana .haswa hao wazee wakina fella.sallam hapo ni majungu na kuvunjiana nazi.mimi sipendi mziki na siwafuatiliii sana lakin alichoongea harmonize na alichofanyiwa manara simba kama vinataka kulandana hivi .sema tu manara hakulipa milion 600.
Kwa maelezo ya harmonize ni kuwa hapo wcb mondi anapelekeshwa na hao wenye vitambi .kuwa harmonize atamuua mond kimziki.ila hadi sasa mond sion anachoimba katika miaka hii miwili iloyopita
Full time
Harmonize 7 vs wcb 0
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Mzee unadhani wabongo hata ukiwaambia ukweli wanabadili mawazo?Msikilizeni harmonize hadi mwisho alafu ondoa utimu kabisa .angalia kinachozungumzwa utagundua pale wcb kuna fitna kubwa sana .haswa hao wazee wakina fella.sallam hapo ni majungu na kuvunjiana nazi.mimi sipendi mziki na siwafuatiliii sana lakin alichoongea harmonize na alichofanyiwa manara simba kama vinataka kulandana hivi .sema tu manara hakulipa milion 600.
Kwa maelezo ya harmonize ni kuwa hapo wcb mondi anapelekeshwa na hao wenye vitambi .kuwa harmonize atamuua mond kimziki.ila hadi sasa mond sion anachoimba katika miaka hii miwili iloyopita
Full time
Harmonize 7 vs wcb 0
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Umemsikiliza harmonize kwanza au umcomment tu???[emoji204][emoji204][emoji204][emoji204]
et hamronize 7 wcb 0
hivi toka uyo nchumali ame toka uko wcb ame mzidi nn uyo baba ake?
nitajie mafanikio aliyo yapata ktk kipind iki na huo mzik alio mzidi ni upi huo
taja hiyo scenario ni ipi na uelezee n nani kutwa kumuimba mwenzake vijembe kweny nyimbo zake mpaka ime pelekea hata album yake isi sikike hataMashabiki wa Diamond wanapenda kumuattack Harmonize kwasababu wana tabia ya kuwa na chuki zao tu.
Hata kabla hajasema mimi nilijua mkorofi ni domo kutokana na scenario moja niliyowai ishuhudia kati yao hapo nyuma. Harmonize ni mstaarabu sana ila mashabiki wa domo wanamfatafata sana.
Lakini dogo amesimama vema sasa hawataweza kumwangusha zaidi ya kumwongezea fans.
Kwa watoto hawa wadogo wanaokua sasa wanamfaham zaidi hamo kuliko domo.
Mashabiki wa domo wanazeeka wakati mashabiki wa amo wanakua.
Hivyo mahesabu yanaonyesha ni wapi hawa miamba wawili wanaelekea.
Hizi hesabu zako umetumia four figureMashabiki wa Diamond wanapenda kumuattack Harmonize kwasababu wana tabia ya kuwa na chuki zao tu.
Hata kabla hajasema mimi nilijua mkorofi ni domo kutokana na scenario moja niliyowai ishuhudia kati yao hapo nyuma. Harmonize ni mstaarabu sana ila mashabiki wa domo wanamfatafata sana.
Lakini dogo amesimama vema sasa hawataweza kumwangusha zaidi ya kumwongezea fans.
Kwa watoto hawa wadogo wanaokua sasa wanamfaham zaidi hamo kuliko domo.
Mashabiki wa domo wanazeeka wakati mashabiki wa amo wanakua.
Hivyo mahesabu yanaonyesha ni wapi hawa miamba wawili wanaelekea.
Sitaisema kwasababu zangu binafsi. Lakini siku ile nilishangaa kuona domo anaonyesha chuki kiasi kile kwa mtu ambaye nilijua ni tim yake,, baadae nikaambiwa dogo amejitoa huko pengine ndio sababu. So hata baadae nilikuwa nikisikia story zao nilikuwa nakumbuka hiyo issue najua kuwa nani ni tatizo.taja hiyo scenario ni ipi na uelezee n nani kutwa kumuimba mwenzake vijembe kweny nyimbo zake mpaka ime pelekea hata album yake isi sikike hata
mzee kama na ww una tumia MIHADARATI acha mara mojaSitaisema kwasababu zangu binafsi. Lakini siku ile nilishangaa kuona domo anaonyesha chuki kiasi kile kwa mtu ambaye nilijua ni tim yake,, baadae nikaambiwa dogo amejitoa huko pengine ndio sababu. So hata baadae nilikuwa nikisikia story zao nilikuwa nakumbuka hiyo issue najua kuwa nani ni tatizo.
Na domo ndo alianza vijembe kama una kumbukumbu vizuri.
Aliyeanza vijembe ni Harmonize na Dimondi alikuwa kimya akarudisha majibu kwa kumuita mjomba nchumali, Harmonize akatoa wimbo wa Wapo akiwa analalamika.Sitaisema kwasababu zangu binafsi. Lakini siku ile nilishangaa kuona domo anaonyesha chuki kiasi kile kwa mtu ambaye nilijua ni tim yake,, baadae nikaambiwa dogo amejitoa huko pengine ndio sababu. So hata baadae nilikuwa nikisikia story zao nilikuwa nakumbuka hiyo issue najua kuwa nani ni tatizo.
Na domo ndo alianza vijembe kama una kumbukumbu vizuri.
Umesema tusiweke utim we mbona umeweka utim? Uyo harmonize anaimba nini tangu atoke wasafi?Msikilizeni harmonize hadi mwisho alafu ondoa utimu kabisa .angalia kinachozungumzwa utagundua pale wcb kuna fitna kubwa sana .haswa hao wazee wakina fella.sallam hapo ni majungu na kuvunjiana nazi.mimi sipendi mziki na siwafuatiliii sana lakin alichoongea harmonize na alichofanyiwa manara simba kama vinataka kulandana hivi .sema tu manara hakulipa milion 600.
Kwa maelezo ya harmonize ni kuwa hapo wcb mondi anapelekeshwa na hao wenye vitambi .kuwa harmonize atamuua mond kimziki.ila hadi sasa mond sion anachoimba katika miaka hii miwili iloyopita
Full time
Harmonize 7 vs wcb 0
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisa.Msikilizeni harmonize hadi mwisho alafu ondoa utimu kabisa .angalia kinachozungumzwa utagundua pale wcb kuna fitna kubwa sana .
Kama wewe ni shabiki wa domo sikushangai, midomo yenu ni myepesi kutamka maovu.mzee kama na ww una tumia MIHADARATI acha mara moja
am Done with You !!