Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Kumbe ndio maana Alikiba aligoma kumpa mkono
 
Rayvanny kwa harmonize haingii hata ukucha usimfananishe harmonize na upumbavu
Msiwe mnaongea hivi kwa hisia, wekeni takwimu ziamue zenyewe.Harmo kamzid nini Rayvanny?

Kwani msiwe mnaweka hoja zinazoeleweka ili tujadili vizuri? Sema alichonacho Harmo ambacho Vanny hana.
 
Jeshi
 
Hata Youtube ya Rich mavoko nayo ilipigwa pini,
Sa hivi anatumia ya Billionea kid
 
Hahaha...siku huyo mwanajeshi wenu akimzidi Naseeb kwa chochote kile (hâta kimoja tu) nitawaelewa,ila kwasasa nawaona kama wafa maji tu maana hakuna hâta hoja moja ya maana mnayotoa.
 
Diamond ataendelea kuwa msanii namba moja kwa muda mrefu kidogo. Kwa hiyo wanaomchukia endeleeni kuugulia maumivu bado mna safari ndefu ya maumivu.
Wanaomchukia Diamond ni walewale miaka nenda Rudi,Zaid Zaid wanahamishaga kambi tu.
Huyo mange mwenyewe ndo yule yule tu,yani mpaka wanajitoa akili.

Wakati harmonize yupo full beneti na diamond walianzisha vita KWA diamond ilj amteme huyo mmakonde na wakamsifia kinafiki rayvanny Ili aonekane anajua kuimba KUSHINDA harmonize lakini hata wao hawakutegemea haya,hata leo wanamsapot kinafiki Ili kumkomoa mondi.

Ajabu ni kua anayemtukana mondi anapata umaarufu na faida,anayemsifia pia na kumtetea sana the same.

Cc mwijaku,babalevo,jumalkole na page za udaku.
Ama kweli hii kweli ALMASI,mpaka mzee mzima Ostadh Juma naye kaanza na kuanzisha ka online TV chake,anapiga vifedha vya hapa na pale
 
Sawa juma lokole so swala la pikipiki ndio hoja yako? Mkataba wcb south wamempeleka wcb ulitaka alipe nani
Tatizo juma lokole elimu huna ndio shida
 
Sawa juma lokole so swala la pikipiki ndio hoja yako? Mkataba wcb south wamempeleka wcb ulitaka alipe nani
Tatizo juma lokole elimu huna ndio shida
Una ulivyokuwa choko video wanagharamiwa wao kila kitu then apewe faidi hamna cha bure utakuja kuliwa
 
Kutokana na taarifa aliyoisema ndugu yetu mmakonde kuwa jamaa alimuambia aweke mkono kama anataka mashindano ilikua na muktadha upi kitaalamu katika mambo ya kichawi au ilikua ni tambo tu au ni sawa na vile vijana wengi tunavuosemaga “tupinge kama unaeza” nisaidieni kuwatag wataalam aisee.

Mshana Jr na wengineo

Nawasilisha
 
Management ndio ilikuwa ikisema sio yeye.. halafu hapo hapo tena unakuja kuuliza mbona hajamzidi wakati juu umenukuu kabisa management ndio ilikuwa ikisema sio yeye sasa tukuelewe vipi Jimena?
 
Harmonize analazimisha vita ya maneno na Diamond,hayo si alishasema wakati amehama na clouds walimpa airtime ya kutosha
Wao mbona wanamsema chief, kama mwanzo wa haya kaanza Diamond kuwa Harmonize ataishia kwenye mihadarati Konde kajibu sasa hapo mbaya nani?
 
kubali tu hujatazama hii interview au unakwepa kukubali ukweli dogo kafunguka ya ndani madale wapo uchi.
Wanatumia nguvu sana kuukataa ukweli lakini Konde kaharibu vibaya sana, sasa na Burnaboy Kampost Konde kaweka dole la kati dah WCB kazi wanayo na leo anasepa na kijiji Maison hapo [emoji3]
 

Brother Harmonize katoka tour US unataka awekeze nguvu na akili vipi tena au unadhani US alienda kutembea chief? [emoji3]
 
Ina maana ukiajiliwa WCB account zote ni mali yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…