Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huyo dogo kamzid nini Naseeb? Sema hâta kimoja kama kweli wewe sio chawa.Kiroboto kingine hiki hapa....
Msiwe mnaongea hivi kwa hisia, wekeni takwimu ziamue zenyewe.Harmo kamzid nini Rayvanny?Rayvanny kwa harmonize haingii hata ukucha usimfananishe harmonize na upumbavu
JeshiSwala la Harmonize kujilinganisha na Mond iwe kwa pesa&investment, mafanikio kimziki, fanbase, Exposure na mambo mengine ni ujinga usio na kikomo, ambao umetamalaki kwake mpaka kwa mashabiki zake maana ukweli unafahamika kuwa hafiki hâta 50% ya Mond kwa chochote kile.
Kimziki ameshafeli, hakuna hâta ngoma yake ambayo imeenda mbali tangu atoke WCB, tofauti na KWANGWARU ambayo ilibebwa na uwepo wa huyo anaemtukana leo, ni ngoma gani nyingine kubwa aliyowahi kufanya??
Hata Youtube ya Rich mavoko nayo ilipigwa pini,Manara alishindwa kukaa nayo wiki😀😀😀😀😀
Umenikumbusha kitenge aiseee mpaka akaunti yake ya insta wakaichukua kisa tu kawahama na akaambiwa atoe ela ili arudishiwe akaunti yake🙌🙌🙌kitenge kagoma kaenda fungua akaunti nyingine hata mwezi hajamaliza ana followers 1M..
Pale ndio niliona side b ya roho ya jamaa ila mmakonde lazima apopolewe hata km yupo right....🚶🚶🚶🚶
Hahaha...siku huyo mwanajeshi wenu akimzidi Naseeb kwa chochote kile (hâta kimoja tu) nitawaelewa,ila kwasasa nawaona kama wafa maji tu maana hakuna hâta hoja moja ya maana mnayotoa.Jeshi
Hahaha...siku huyo mwanajeshi wenu akimzidi Naseeb kwa chochote kile (hâta kimoja tu) nitawaelewa,ila kwasasa nawaona kama wafa maji tu maana hakuna hâta hoja moja ya maana mnayotoa.Jeshi
Wanaomchukia Diamond ni walewale miaka nenda Rudi,Zaid Zaid wanahamishaga kambi tu.Diamond ataendelea kuwa msanii namba moja kwa muda mrefu kidogo. Kwa hiyo wanaomchukia endeleeni kuugulia maumivu bado mna safari ndefu ya maumivu.
Sawa jumalokoleMond anawapenda sana watu kama nyie... mmegeuka chawa bila kujua
Sawa juma lokole so swala la pikipiki ndio hoja yako? Mkataba wcb south wamempeleka wcb ulitaka alipe naniMtoa mada bado sana tatizo unaonyesha chuki za wazi wazi harmonize yule katemwa BSS jamaa kamchukua kazunguka nae kumshika mkono alivunja pikipiki katika video ya bado kule south nan alilipa kama sio wasafi risk zote walibeba
Ujinga wako n nn inamchukua diamond kwa vile ana maisha mazuri pesa anayo ingekuwa umemzidi kila kitu usingeongea mashudu unaonekana mtu mzima ila akili haun
Uchawi kila kona upo kutwa kuwaandama vijana mara diamond mara vunjabei eti wachawi utamjuaje mchawi kama sisi ww mchawi
Yule mbegu fupi anashukiwa akili baada ya kuona njia ila wcb hawakumfuata kwamba wanatafuta vipaji aliwafuata yeye kutoka kwao
Kusaini mkataba ndo unajifungua na alikuwa anajivunia sana kuwa wasafi sasa kashika pesa pesa si natoa maneno ya nn
Una ulivyokuwa choko video wanagharamiwa wao kila kitu then apewe faidi hamna cha bure utakuja kuliwaSawa juma lokole so swala la pikipiki ndio hoja yako? Mkataba wcb south wamempeleka wcb ulitaka alipe nani
Tatizo juma lokole elimu huna ndio shida
Harmonize kapiga kwenye mshonoHata Youtube ya Rich mavoko nayo ilipigwa pini,
Sa hivi anatumia ya Billionea kid
Management ndio ilikuwa ikisema sio yeye.. halafu hapo hapo tena unakuja kuuliza mbona hajamzidi wakati juu umenukuu kabisa management ndio ilikuwa ikisema sio yeye sasa tukuelewe vipi Jimena?Kwenye huo uzi hapo, amenukuliwa akisema kuwa management nzima ya wasafi ilikua inamuogopa kuwa anakwenda kumshinda Diamond, baba ake akienda kumsalimia anaambiwa ameenda kuwaroga, akaamua kuondoka
Sasa mbona mpaka sasa bado hajamshinda ikiwa anajiona ye ni mkali kiasi cha kuogopwa na management nzima ya WCB??
Kama hashindani nae wala hataki kumzidi maneno neno yasiyo na tija ya kazi gani???
Wao mbona wanamsema chief, kama mwanzo wa haya kaanza Diamond kuwa Harmonize ataishia kwenye mihadarati Konde kajibu sasa hapo mbaya nani?Harmonize analazimisha vita ya maneno na Diamond,hayo si alishasema wakati amehama na clouds walimpa airtime ya kutosha
Wanatumia nguvu sana kuukataa ukweli lakini Konde kaharibu vibaya sana, sasa na Burnaboy Kampost Konde kaweka dole la kati dah WCB kazi wanayo na leo anasepa na kijiji Maison hapo [emoji3]kubali tu hujatazama hii interview au unakwepa kukubali ukweli dogo kafunguka ya ndani madale wapo uchi.
Ukitoa yote, hustle alizopitia mpaka kuja kupewa hiyo termination contract Konde ni Jeshi kweli, na atafika mbali sana akistay positiveKabisa yaani sema ndo hvyo mdogo mdogo atafika alipoandikiwa na Mungu
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Diamond alivyoachana na Clouds,waliacha kupiga nyimbo za WCB walifanya kila Njia kumshusha Diamond
Na Sijawahi kumuona Diamond akilialia kama anavyofanya Harmonize
Bali aliwekeza Nguvu na Akili kwenye kufanya kazi Na kutengeneza Fanbase yake
Harmonize yeye anashindwa nn?
Ina maana ukiajiliwa WCB account zote ni mali yaoManara alishindwa kukaa nayo wiki[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umenikumbusha kitenge aiseee mpaka akaunti yake ya insta wakaichukua kisa tu kawahama na akaambiwa atoe ela ili arudishiwe akaunti yake[emoji119][emoji119][emoji119]kitenge kagoma kaenda fungua akaunti nyingine hata mwezi hajamaliza ana followers 1M..
Pale ndio niliona side b ya roho ya jamaa ila mmakonde lazima apopolewe hata km yupo right....[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]