Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakutunuku PhD ya heshima kwa hii kauli yako yenye ukweli mtupu ndani yake., ni kauli ya kishamba sana iliyojaa Utanzania mtupu
Yatakuja au tayari yamelifedhehesha taifa! Yaani Rais wa nchi awabembelezee wasanii! Sishangai kwani Rais alimvika kofia msanii! Nikamkumbuka yule mama aliyemfunga kamba za viatu mwanae ikulu mbele ya Rais.Naomba kuweka wazi kabisa kwamba mimi si mpenzi wa Muziki wa Tanzania na wala siwapendi wanamuziki wa Tanzania , hii ni kwa vile wamekuwa mara zote wakitumika na ccm kuwapotosha wananchi , na hasa hawa wanaoitwa Wanamuziki wa kizazi kipya , ambao pia wanatuhumiwa kusafirisha na kusambaza madawa ya kulevya hivyo kuharibu nguvu kazi ya Taifa .
HARMONIZE ALIKUWA NA KIPAJI DIAMOND ALIKUWA PESA.Watu unaowasaidia wengi hugeuka Maadui [emoji855]
Huyu Harmonize Ndio alilia Kwa Suprise ya Mond pale Dar Live
Halafu hii siku Diamond alipiga Ndege Wawili Kwa Jiwe Moja Alienda Kwa Davido
Baadae Akaenda kumsupport harmonize na Dogo Mpaka Machozi yalimtoka
Leo WCB wamekuwa Wabaya [emoji2297]
[emoji38][emoji38][emoji38]Nakutunuku PhD ya heshima kwa hii kauli yako yenye ukweli mtupu ndani yake.
Kuanzia sasa naomba uitwe Dr. Erythrocyte
Na wewe johnthebaptist sema Ameen
Tafuta kazi ya maana ikuingizie pesa Diamond na Harmonize hawakusaidii chochote na hawakujuiHivi harmo alivyotoka wasafi si diamond aliendelea kumsuport tena akawa anapiga ngoma zake kwenye media? Harmo alivyoanza kumtumia hbaba sijui mwijaku kumtukana diamond ndo mambo yalipoharibika sasa diamond kujibu mapiga anaonekana mbaya?
Tulia wewe kondegirlhuu ndio utanzania wenyewe anaosema @erythrocytes
Waha wana roho mbaya Dada!Utakuwa Muha si bure[emoji38]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tafuta hela hakuna joto wewe