Hivi ni kweli alitoka na bodaboda kutoka airport hadi basata?Uzi kwa ajili ya Diamond Platnumz.
Jina lenyewe ukilitamka linatisha.
Jina limewapa rizki vijana wa kutosha.
Bila ili jina hutoboi hapa mjini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni kweli alitoka na bodaboda kutoka airport hadi basata?Uzi kwa ajili ya Diamond Platnumz.
Jina lenyewe ukilitamka linatisha.
Jina limewapa rizki vijana wa kutosha.
Bila ili jina hutoboi hapa mjini.
Rais mpiga push up,mwenye kauli za kufedhehesha naye mazi ga Nyanza.Naomba kuweka wazi kabisa kwamba mimi si mpenzi wa Muziki wa Tanzania na wala siwapendi wanamuziki wa Tanzania , hii ni kwa vile wamekuwa mara zote wakitumika na ccm kuwapotosha wananchi , na hasa hawa wanaoitwa Wanamuziki wa kizazi kipya , ambao pia wanatuhumiwa
Wewe unaamini vip kauli yakeKwanini alipomlipa alikataa kumpa mkataba wa kuterminate? hapa tu ndiyo alipoboa!!
Kweli aiseee ndio maana akafungua akaunti mpya instagramKitenge alimaliza mkataba na aliondoka bila shari
Lini ulimsikia diamond anasema anataka kunyenyekewa zaidi ya kumsikia harmonizeIla hamo Na diamond wakiimba nyimbo pamoja zinakuwaga balaa
Sipendi watu ambao wanapenda kunyenyekewa
Mtu ashawalipa m600 bado mnamtakia nini??
Yaan mtu akae chini yako tu wamuache harmonize bana
Harmonize anaustaharabu upi huyu si alitengeneza video ndani ya hiyo video akaweka mtu anayefanana na diamond akaandika mstari boss akipata demu anatangaza lakini huyo alivyotoka Wasafi akaanza kutunga nyimbo za vijembe kwa diamond kuna wimbo unaitwa haunistui n.k dada inaonesha sio mfuatiliaji wa mziki.Hapana wcb walianza bana kumsakama
Hamo mstasrabu sanaa
Usichokijua ni kwamba tukio lile liliandaliwa na waandishi walimsubiri wakijua nini kitatokeaKama umefuatilia vyema interview yote, utabaini hakuwa na nia ya kuzungumza alicho zungumza, ndio sababu ameweka wazi ni mara ya kwanza kuzungumza kwa kina alichozungumza kuhusu kuondoka kwake wcb na maswala mengine tusiyokuwa tunafahamu.
Kwani 600m harmo alilipishwa na WCB au na diamond na huo mkataba unamhusu vp mond?anacholaumiwa domo ni makasiriko yake juu ya mtu ambaye anataka kujinasua kwa gharama yoyote kutoka kwenye mikono ya unyonyaji,kwanini uchukie mtu anayepambania uhuru wake?
milioni 600 zishafuta utu wote wa domo amuache kijana na maisha yake makasiriko yatawafokisha pabaya kwasababu hata mmakonde anaonekana haya mambo sasa sio ya kumuachia Mungu ni ya kupambana nayo kiume kwa kiume,ndo maana yamefikia hapa.
- Sio kweli kwamba nilikuwa sijuiUsichokijua ni kwamba tukio lile liliandaliwa na waandishi walimsubiri wakijua nini kitatokea
Una stress za maisha tafuta hela usiwe unakasirikia kila mtu na kila kitu haupo sawa psychologicallyHilo ni tamko kutoka kwa Aggrey mkata mauno wa Kinondoni.
So embarrassing.
Lete mkono...lete mkonoo..hunishindi kiserikali,kimziki wala kiuchawi!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lini ulimsikia diamond anasema anataka kunyenyekewa zaidi ya kumsikia harmonize
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmonize afunguka kuhusu mkataba alioingia na WCB amesema alikuwa akipewa 40% ya mapato yoyote anayoingiza na WCB kuchukua 60% ameamua kuelezea hayo yote kutokana na watu kuwa dhana ya kwamba yeye ni msaliti. Amesema alifanyiwa fitna nyingi zilizopelekea yeye kuondoka kwenye record label hiyo.
Amesema management nzima ya WCB walikuwa wanamuogopa yeye (Harmonize) kwamba anaelekea kumshinda Diamond Platnumz kimuziki, amenongezea pia baba yake Harmonize alivyokuwa akija kumtembelea nyumbani WCB walikuwa wanasema kwamba alikuwa anakwenda kumroga Diamond.
Harmonize ameongezea pia alikwenda Nigeria kwa gharama zake kufanya collabo na Reekado Banks nchini Nigeria na akakatwa dola 5000 na WCB. Alipoona fitna zimezidi alijaribu kutafuta amani lakini ilishindikana, amesema mkataba wake na WCB alishauriwa na Joseph Kusaga kwamba akitafuta mwanasheria asingelipa chochote lakini hakutaka kupambana kwa njia hiyo na akaamua kulipa hela tu (Milioni 600) ili tu kupata amani.
Yani kijeba mseleleko wake ni Diamond, akitaka kuongelewa basi anataja jina Diamond anaendelea kusavaiv kwenye muziki.Harmo kaona urejeo wake bongo umekuwa kimya hakuna wa kumpokea akaona kupata attention ya hvyo itamsave
Rais mwenyewe aliwekwa Ikulu kwa nguvu ya Almasi, unabisha.?
Diamond asidanganye lolote kuhusu serikali hawez kuiweka mfukoni. Serikali ya tanzania as idharirishe kiwango hk. kifedha pia Hana hela za kutisha, kiuchawi labda huo wa kumlala mama yake.... Ndio maana Zai akaona tusitoane roho na mama mkwe kisa........
Kama ana hio nguvu mwambie agombee urais tuone atapata kura ngapi
Usibeze anavyotegemewa kujaza watu kwenye mikutano ya kampeni, kuhusu Urais…. tayari ni Rais wa WASAFI.
Haya mambo yalitokea miaka miwili nyumaa
Now Mmakonde yupo huru ana lebel yake na kasaini wasanii kibao