Kwa sababu Kusaga anamiliki WASAFI MEDIA na CLOUDS MEDIA lakini WASAFI wanataka kupambana na CLOUDS., kisa ugomvi wa DOMO na marehemu Ruge.Kuna kauli imenifikirisha kidogo hapo alipokuwa anazungumzia migogoro ya media kusema kwamba "Unakuta mmiliki ni mmoja"
Hizo zilikua terms za kwenye mkataba ,hivyo hajaonewa ndo maana amelipaAsihofu acha awalipe maana domo ana wivu sana, anataka awe mfalme peke yake, kwanza mwakani anakuwa mbunge atapata na uwaziri wa michezo, akichanganya na kipaji chake atapata hizo nyumba mapema tu.
We si ulisema Wasafi wamenyonya amebaki kuwa kinyozi sasa hivi.Huyo Ni Takataka, Alikuwa Haingizi Chochote Zaidi Ya Kutumia.
Ndio Maana Walimtema Tu, Hakuwa Na Faida Yoyote
Nakupuuzanawewe ni sawa na huyo hao wote ni wamakonde usianze ubaguzi wa wapi katoka wewe tetea kabila lako usiangalie alikotoka usubwada sana
Hakulazimishwa kusign mkataba alikubali yeyemwenyewe asianze kulialia alipe hela yakuvunja mkataba.Duuu hatari sana
umeandika kwa ulefu ila nazan ni kwa sababu umeambatanisha na uongoAkihojiwa na Clouds FM kwenye XXL amesema imemlazimu kulipa million 500 ili kuvunja mkaba na Kampuni ya Wasafi.
Amesema kampuni ya Wasafi walimzuia kutumia chochote kilichotokana na Wasafi ikiwemo jina la Harmonize, nyimbo zake ,akaunt za mitandao ya kijamii na mengineyo.
Ili kuendelea kutumia nyimbo hizo imemlazima kulipa milion 500, amesema kuwa ameuza nyumba zake tatu na baadhi ya aseti na yupo kwenye hatua za kumalizia deni lake ili aweze kupiga nyimbo zake popote pale.
Kuhusu kugombea ubunge amesema kauli ya Rais ni kama sheria hivyo yupo tayari kutekeleza agizo la mheshimiwa.
2020 Harmonize mjengoni.!
Ameongeza kuwa ugomvi wa Vyombo vya habari unarudisha mziki nyuma.
Amewekea mfano Whozu na Marioo kuwa ni wasanii ambao wanashindwa wasimame na media ipi.
Hapa inaonesha kuna wasanii wengi wanapenda kushirikiana Wasafi fm ila wanaogopa kutengwa na Clouds.
Kwani wakati anasign alilazimishwa hakuna unyonyaji hapo Kama alikubali yeyemwenyewe tatizo la wasafi ni lipi?Duh! Huo ni unyonyaji wa wazi wazi inamaana kama huna hyo amount ndo unapotea mazima! No wonder rich mavoko amepotea masikini.
Hyo mikataba ya wasafi iangaliwe upya aisee!
Asihofu acha awalipe maana domo ana wivu sana, anataka awe mfalme peke yake, kwanza mwakani anakuwa mbunge atapata na uwaziri wa michezo, akichanganya na kipaji chake atapata hizo nyumba mapema tu.
Huu mkataba mbona ulimbana sana?
Umemaliza Kila kitu mzee baba atayekujibu unitagMbona mnajadili ujinga ujinga Harmonize alisaini mkataba na ndani ya mkataba kuna vitu vingi amba vyo sisi hatuvijui ila yeye harmonize alitaka yeye kuvunja mkataba ambao umemtaka alipie ml500 ili kujiondoa kwenye lebo
Na mkataba alilizika nao yeye harmonize na kusaini mwenyewe sasa linapokuja swala la harmonize kuvunja mkataba si avunje tu! Kulalamika lalamika yanini na kuchanganya diamond kwa vitu smbavyo