herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
kumbuka vyote alivyonavyo Harmo vinatokana na msaada kutoka kwa Diamond ukiachana na MUNGU mpaka amefika hapo ni kwa nguvu za Domo usingemfahamu huyo jamaa pasipo huyo unayemuita Domo na hujui huo mkataba walikubaliana vp ko kuwa mpoleAsihofu acha awalipe maana domo ana wivu sana, anataka awe mfalme peke yake, kwanza mwakani anakuwa mbunge atapata na uwaziri wa michezo, akichanganya na kipaji chake atapata hizo nyumba mapema tu.
kumbuka vyote alivyonavyo Harmo vinatokana na msaada kutoka kwa Diamond ukiachana na MUNGU mpaka amefika hapo ni kwa nguvu za Domo usingemfahamu huyo jamaa pasipo huyo unayemuita Domo na hujui huo mkataba walikubaliana vp ko kuwa mpoleAsihofu acha awalipe maana domo ana wivu sana, anataka awe mfalme peke yake, kwanza mwakani anakuwa mbunge atapata na uwaziri wa michezo, akichanganya na kipaji chake atapata hizo nyumba mapema tu.
Hizo nyumba tatu na baadhi ya asset alizozipata alizouza kazitoa wapi, kama sio wasafi.Jana Nimemwona QBoy Amebaki Kuwa Kinyozi Tu, Kariakoo !
Domo Ukimchekea Utabaki Kupata Tu Sifa Mitandaoni, Mademu, Na Show Offs.
Ukichokwa Unapigwa Chini, Unapotea.
Harmonize Kashtuka Mapema. Anaweza Kuinuka
Kkkkkkk duh hili tusi ndo mara ya kwanza kulisikia[emoji23][emoji23][emoji23]Behewa wewe!
yan ndilo kubwa nlilolisikia mengine yote kawaida tuHarmonize ameshauri media ziache bifu na hii ndio sababu za muziki wetu kutosonga mbele compared na Nigerian music.
Katika interview ya huyu Harmo, hapa ndio nimemuelewa kuliko sehemu yoyote.
Kila Alichokipata Wasafi Kakirudisha, Aanze Upya.Hizo nyumba tatu na baadhi ya asset alizozipata alizouza kazitoa wapi, kama sio wasafi.
Ameamua kuuza nyumba na asset zake aanze upya.Aiseeee! Umaskini huwa unamuita mtu kwa sauti kubwa.
Marehemu Ruge Alikuwa Mnyonyaji.We si ulisema Wasafi wamenyonya amebaki kuwa kinyozi sasa hivi.
Wakati alipokuwa Wasafi alikuwa ana drive na posho analipwa kwa kazi ya kumvalisha na kumnyoa Diamond ,bila kusahau alikuwa anasafiri na Diamond sehemu yoyote ila mwenzake Kifesi ,aliyekuwa wakisafiri kupitia WCB amefanikiwa kujenga nyumba na gari na wote walikuwa wakilipwa.
Bila kusahau mwenzake Kifesi kafungua studio kubwa ya kupiga picha,mtaji kaupata kupitia WCB.
Siku zote MUDA mwalimu mzuri ,baniani mbaya kiatu chake dawa,swala la muda tu nyeusi na nyeupe zitajulikana.
Sawa we mwenzangu mwenye akili.Ila ni swala la muda, baniani mbaya kiatu chake dawa.Mashabiki Wa Domo Hamna Akili
Ongeza na EfmKwa sababu Kusaga anamiliki WASAFI MEDIA na CLOUDS MEDIA lakini WASAFI wanataka kupambana na CLOUDS., kisa ugomvi wa DOMO na marehemu Ruge.
ali kiba ameshakuwa zilipendwa. Harmonize ni upepo wa kisulisuli anakoelekea atawasomba wakina Lavalava na Queen DarlinKo sa hv clouds wapo na kiba pamoja na harmonize!!!!anyways tusubr tuone
ali kiba ameshakuwa zilipendwa. Harmonize ni upepo wa kisulisuli anakoelekea atawasomba wakina Lavalava na Queen Darlinmtu maskini wa akili utamjuwa tuu yaani we una mamlaka ya kumzuia mtu asiseme kinachomhusu we nani, konde boy funguka mwananbu nothing to fear
ali kiba ameshakuwa zilipendwa. Harmonize ni upepo wa kisulisuli anakoelekea atawasomba wakina Lavalava na Queen DarlinNilicho kigundua clouds Bado wana tatizo na wasafi pia ata na harmonize..ila nikama kuna mkono mzito kama sio maagizo ya Boss yalio waforce wakubari ii interview...hawako confortable kabsa ..mzuka haupo...
Kosa lake ni lipi hasa? Mtoto kakua bado unamzuia wa nini sasaAfunge domo lake huyo dogo na aende zake kwa amani huko aendako na si kubwabwaja hovyo.
Hivi wamakonde huaga mnatatzo gani!maana wote mnafanana tabia
Ali Kiba ameshakuwa zilipendwa. Harmonize ni upepo wa kisulisuli anakoelekea atawasomba wakina Lavalava na Queen DarlinMtizame yule Qboy mnayedai alinyonywa WCB anaomba msamaha anataka arudi tena kundini.Ongeeni tu ila MUDA mwalimu mzuri sana.
Mnadai ananyonywa lkn kupitia WCB amefanikiwa kujenga nyumba mbili ambazo leo hii,anazitumia kununua sehemu ya mkataba uliobakia.
Baniani mbaya kiatu chake dawa.
Mondi hana tatizo.Kosa la Diamond ni nini hapo??? Mkataba aliousaini ndio umemtaka alipe hizo fedha tatizo lipo wapi kwa Diamond.
Kila Alichokipata Wasafi Kakirudisha, Aanze Upya.
Hiyo Ndo Mikataba Ya Mtu Anayejifanya "Anawasaidia" Vijana Huku Akiwaita Kina Marehemu Ruge "Wanyonyaji".
Mwambie Amsaidie Le Mutuz Amtoe.Bro ulikuwa wapi wewe kumtoaa harmo?
Ukinijibu nitag!