Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

Kosa la Diamond ni nini hapo??? Mkataba aliousaini ndio umemtaka alipe hizo fedha tatizo lipo wapi kwa Diamond.
Waliseama clouds ni wanyonyaji kwa wasanii,MNYONYAJI MWINGINE HUYO HAPO
 
Nafuatilia sana mziki kuliko hata wewe. Kama dogo kakubari kuwalipa sasa kinachowanunisha ni nini? Haya haya ndiyo yalikuwa yakimpata ruge
We ujui kitu na ujui angle ipi clouds analaumiwa na kutokujua kwako sio kosa lako Bali ufuatilii mziki kiufupi unadandia dandia ungekuwa unafuatilia mziki vizuri usingeniuliza Hilo swali
 
Huo mkataba ni wa kukomoana its as if wamemwambia arudishe kila kitu alochovuna alipokuwa wasafi wkt wao pia walipata faida sana kupitia Harmonize


Wasanii wanapiga pesa ndefu mzee, na ndiyo hivyo mikataba yao lazima iwe laughable mpaka pale watakaposaini mikataba mingine au waweze kujisimamia wenyewe. Hata huko mbele tumeona Jojo aliacha kutengeneza muziki wakati yuko hot, Keisha mpaka leo kalosti kwa ajili ya mkataba, Toni Braxton yalimkuta ya kumkuta, Mariah Carey alishawahi kupitia kwenye hali ngumu kabla hajapata akili. Sanaa ni kitu cha kubahatisha na wadau wana gamble so much money kwa msanii kabla hana jina. Kitu muhimu katika maisha usione hasara kumpa lawyer laki nne ili apitie mkataba wako unaohusu milioni kumi au kumi na tano.
 
Ila hapa ndo huwa nasema maisha ya kuigiza siku zote in ghalama! kwahiyo mbwembwe zoooooote hata million 500, imemtia jasho???? mpaka ameuza vibanda 3 na bado hajamaliza den??? sasa huo utajili ambao huwa wanajitapa uko wapi???????????? hiv wanaelewa maaana ya utajiriii
 
Ila hapa ndo huwa nasema maisha ya kuigiza siku zote in ghalama! kwahiyo mbwembwe zoooooote hata million 500, imemtia jasho???? mpaka ameuza vibanda 3 na bado hajamaliza den??? sasa huo utajili ambao huwa wanajitapa uko wapi???????????? hiv wanaelewa maaana ya utajiriii


Si ndio hapo, mabaunsa kumi wote wanini kama huna hata milioni mia tano? Wamakonde bhana akili zao sijui vipi?
 
Sasa huyu dogo mabodi gadi wote wale wanaomlinda kumbe hana hata milioni 500 banki hadi anauza nyumba 3 na asset zingine na bado million 500 haziviki

Na hizo nyumba tatu alizo uza pamoja na asset zingine na hazijafikisha milioni 500 zipo kijijini kwao au ni vibanda vipo mjini?
Hii inaonyesha wasanii wetu wanaigiza sana maisha

Btw, Nampa hongera kwa maamuzi magumu
Niyeye pekee ndio anajua umuhimu wa alichofanya
Nimtakie kila la heri kisimama bila wasafi
 
Huo mkataba ni wa kukomoana its as if wamemwambia arudishe kila kitu alochovuna alipokuwa wasafi wkt wao pia walipata faida sana kupitia Harmonize

Mbona mkataba una huruma nyingi na Diamond anatakiwa kupongezwa? Kwa mikataba ilivyo ilibidi Harmonize asiondoke mpaka amemaliza kulipa au asitumie zile nyimbo mpaka amalize kulipa deni!

Harmonize amefundwa na amekuzwa na wasafi na gharama kubwa imetumika kumuunda yeye hivyo hiyo hela ni ndogo sana na wakina Salam wana huruma sana.
 
Wasanii ni jeuri sana mkuu. Bila mkataba wa kumbana sana atakuachia manyoya wewe boss wake. Kama hivyo bila mkataba wa kumbana kama hivyo,unafikiri angeondokaje? Kwa fujo na jeuri huku akiendelea kutumia vitu alivyokwezwa kutokea WCB. Yeye tayari kanufaika na kukuzuia brand yake,na sasa imekuwa kuuubwa,Je unafikiri WCB wangenufaika na nini?. Wasanii wote hata USA,mikataba yao iko hivyo. Fukunyua mikataba ya Michael Jackson

Labda ujaribu kuwambia wewe maana watu wana jifanya wana huruma sana hahaha
 
Asihofu acha awalipe maana domo ana wivu sana, anataka awe mfalme peke yake, kwanza mwakani anakuwa mbunge atapata na uwaziri wa michezo, akichanganya na kipaji chake atapata hizo nyumba mapema tu.
Kwa hiyo akiupata uwaziri dai atashaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapana mkuu, Mondi hakosi aisee. Mikataba na matangazo yote anayofanya siyo mchezoo! Alafu sijawahi ona msanii under WCB akifanya endorsement zaidi ya Mondi.
Hukuwahi kumsikia Diamond akisema Harmonize ndiyo msanii mwenye pesa kuliko wote WCB sasa leo kakosa 500 mpaka kauza kila kitu ili alipe deni na bado hazijafika, wasanii sikiliza miziki yao siyo maneno yao utapotea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapana mkuu, Mondi hakosi aisee. Mikataba na matangazo yote anayofanya siyo mchezoo! Alafu sijawahi ona msanii under WCB akifanya endorsement zaidi ya Mondi.
Una taarifa zile V8 mbili za zawadi jamaa kachukua kwa mkopo na siyo cash ila huku mtaani watu wanajua jamaa katoa cash zaidi ya 400
 
Pengine anatudanganya tu kuwa kauza nyumba lakini ukweli ukabaki tu kuwa pesa hizo zimetoka Feri.
 
Back
Top Bottom