sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
- #21
Nyie ndio mlomponza mwenzenu sasa hivi anavuna aibu tu ya kukimbizwa I na Mbosso KhanMboso anaimba kaswida hauwez moti wa harmonenga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ndio mlomponza mwenzenu sasa hivi anavuna aibu tu ya kukimbizwa I na Mbosso KhanMboso anaimba kaswida hauwez moti wa harmonenga
Mwenye track 14 anamkimbiza mwenye track sita,duh
Mtotoo Amelowaa amelowaa amenyeshewa na MvuaaWaswahili wanasema mwanakulitafuta mwanakulipata.
Baada ya kusikia kwamba Mbosso anaachia EP yake siku ya Ijumaa tarehe 28, October. Basi kama kawaida mzee wa kuvizia upepo ili abaki kuwa relevant Harmonize naye akaitangaza siku hiyo kuwa atatoa album na yeye.
Sasa ni wazi ameyakanyaga, mnyoosho atakaopewa na Mbosso hatokaa asahau. Mbosso anaenda kumnyoosha haswa na akibuma atarudi kwa wajinga wenzie kuilaumu WCB kama kisingizio.
Mjinga amepambanisha imebidi tulete dataMwenye track 14 anamkimbiza mwenye track sita,duh
Kazi kweli kweli
Linganisheni na gharama za promotion. Akili zenu ni za bata.Mjinga amepambanisha imebidi tulete data
Nitaubeba...nitazikwa nao kiumeHivi ngoma km nitaubeba ni ngoma unasikiliza popote na watu lika lote ...hebu mpeni heshima Harmo
Na wametumia gharama kubwa lakini wapi[emoji2]Haya show imeshafanyika imeisha
Kuna jipya gani mmepata?
Ova
Harmo hata no uzinduzi no tour no promoLinganisheni na gharama za promotion. Akili zenu ni za bata.
mtoa bandiko yuko wap hahahahaha
zaidi ya watu kumi wanamwelewa harmo, mtoa bandiko yuko peke yake haamini anacho kisoma
kwa uandishi harmo anajua, hadi diamond hafiki