Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Mwambie bado sana Mimi hata sio star lkn ninepiga zaidi au Mara tatu yake lkn siwezi kujisifia
Kujisifia kwenyewe ndio huko kwa kupiga x 3 ya anaejisifia tena yeye imesemwa inasemekana etii
 
Asipo tumia nafasi kama hii kuwamega vichwa maji unadhani atapatawapi chance kubwa kama hii..go go... hamo..ila kumbuka kutumia ndomu
ukiona anawapata kichwa maji basi ujue nae ni kichwa maji. " ndege wafananao huruka pamoja"
 
2d80d3d4285a42af8959373e57089601.jpg


Soudy brown kaleta ubuyu shilawadu
Huyu dogo kumbe ni ------ kweli kweli anatuaibisha wamakonde wenzake huu ni ushamba ulopitiliza.
 
Tatzo sio madem 76 kinacho matter ni madem wa aina gan anabambia...
Kwn ukiamua kupitia madanguro hapa mjin unaweza kujaza atendance kama ya uwanja wa taifa kwa miez michache tu...
Anakula wauza papa anajisifu puuu zake
 
Isijekuwa anawapakaza shombo tu, ye anajisifia amewashughulikia[emoji28][emoji28][emoji28], hivi vitoto vinavyojisifia sana huwa vinaishia kumwaga povu tu [emoji125][emoji125][emoji125]
 
76 wachache sana mkuu hata hakupaswa kutangaza angeuliza tu wenzake kwanza ndo aamue kama atatngaza ama atakaa kimya....
 
Back
Top Bottom