Uchaguzi 2020 Harrison Mwakyembe hali tete Kyela, wagombea zaidi ya 30 wa CCM wachukua fomu kumpinga

Wakuu natanguliza salamu hasa baada ya mchakato wa uchaguzi unaoendelea nchini kushika kasi.

Taarifa kutoka Kyela zinathibitisha kwamba kwa mara ya kwanza Ndugu Mwakyembe maji yamemfika shingoni asijue la kufanya baada ya Wanaccm akiwemo anayeitwa KINANASI kuchoka na uongozi wake duni na hivyo kuamua kupambana naye kwenye kura za awali ,Vijana wengi wa ccm wanazungumza kwa lugha ya kinyakyusa huku wakijiapiza kwamba " ALILEPO KAKO " kwa kiswahili tafsiri yake ni kwamba AMEKULA VYA KUTOSHA , na sasa anapaswa kupisha wengine .

Ikumbukwe kwamba Mwenyekiti wa ccm amekwisha tamka hadharani kwamba hajamtuma mtu yeyote kugombea ubunge na kwamba kila mtu apambane na roho yake , bali inafahamika kwamba bila mbeleko Mwakyembe ataishia kwenye kura za maoni .

Tutaendelea kuwaletea habari za uchaguzi za jimbo la Kyela kila zinapojiri .
Huyo heri apoteze ubunge hafai kuongoza hata mtaa
 
Wana Kyela mpoteezeeni huyo kabisa. Asubiri za vitu maalumu.
 
awamu hii wapiga kura tutarogwa mpaka dawa ziseme yatosha Sasa,tutawawehusha wapiga kura.
wataita "mass witchcraft"
FB_IMG_1594896609946.jpg
 
Wakuu natanguliza salamu hasa baada ya mchakato wa uchaguzi unaoendelea nchini kushika kasi.

Taarifa kutoka Kyela zinathibitisha kwamba kwa mara ya kwanza Ndugu Mwakyembe maji yamemfika shingoni asijue la kufanya baada ya Wanaccm akiwemo anayeitwa KINANASI kuchoka na uongozi wake duni na hivyo kuamua kupambana naye kwenye kura za awali ,Vijana wengi wa ccm wanazungumza kwa lugha ya kinyakyusa huku wakijiapiza kwamba " ALILEPO KAKO " kwa kiswahili tafsiri yake ni kwamba AMEKULA VYA KUTOSHA , na sasa anapaswa kupisha wengine .

Ikumbukwe kwamba Mwenyekiti wa ccm amekwisha tamka hadharani kwamba hajamtuma mtu yeyote kugombea ubunge na kwamba kila mtu apambane na roho yake , bali inafahamika kwamba bila mbeleko Mwakyembe ataishia kwenye kura za maoni .

Tutaendelea kuwaletea habari za uchaguzi za jimbo la Kyela kila zinapojiri .
Usisahau kuja na kiloba cha mchele

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mama Salma Kikwete,Hata yeye NAYE Angepumzika tuu,Akala Pension ya Mzee Kikwete Taratiibu.Shida YOTE HIYO ya nini,Kukimbizana na Watoto kwa umri hUU ?.Awaachie akina Brother Rizwan wapambane na vijana wenzao.Ile NGO yake ya WAMA(Wanawake na Maendeleo),Inatosha kumpa Jukwaa la kuonekana kwenye Public.
mwacheni yamkute
 
Hadi zoezi linafungwa jumla ya wagombea wa ccm kyela ni 41
 
Back
Top Bottom