Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la Nchi hii ni kwamba hata tukijua kamuuwa yeye hakuna la kumfanya, tutaugumia chini kwa chini mwisho wa siku tunasahau.Kwa sasa watu wengi sana wanajua issue kiasi kwamba akipotezwa itaonekana wazi kabisa. Na hata mkewe anaweza kuumizwa vibaya. Ikumbukwe yule numewe. Inawezekana anafanya anavyofanya kwa kuogopa tu.
sa hivi yupo kwenye wizara ya makinikiaHuyu mama naye eti anatakiwa kukemea unyanyapaa wa wanawake kijinisia makazini.
N ahuyo baba ndiye muhifadhi wa haki eti.
Jamaa mbona kapoa tu kapewa post nzuri na mama naye post nzuri?Tatizo la Nchi hii ni kwamba hata tukijua kamuuwa yeye hakuna la kumfanya, tutaugumia chini kwa chini mwisho wa siku tunasahau.
Option aliyo nayo bwana mkubwa ili kuweka mambo sawa ni kumpoteza duniani, vinginevyo jamaa akija kuraruka na kumwaga mboga inaweza msababishia matatizo hata ya kujiuzulu "urahisi"
Jamaa hana njaa na kiuchumi yupo vzr, sidhan kama hiko cheo kitamfanya apotezee jambo hili.Jamaa mbona kapoa tu kapewa post nzuri na mama naye post nzuri?
Washaunga undugu wamewenza hao hapo hakuna cha kumwaga mboga wala mchuzi.
Kama kungekuwepo kumwaga mboga kunguru wote hawa wangeshasikia harufu na kudonoa zamani sana tu.
Usifanye mchezo na power.
Unajua tunapomsema huyu bwana gubegube ni kwa mengi.Jamaa hana njaa na kiuchumi yupo vzr, sidhan kama hiko cheo kitamfanya apotezee jambo hili.
Afu ukoo wao wako vzr na sidhan km watakubali jamaa adhalilike.
Nahisi yeye anacho hofia ni usalama wake tu, na inaweza kuwa hata hicho cheo alichopewa ni baada ya ushawishi.mkubwa wa mkewe.
Hata huyu mama hili jambo litamsumbua sana, kwani anajua Mawaziri wenzie na wabunge wanajua, mke wa bwana mkubwa anajua.
Mwisho wa siku patachimbiaaa, na hii issue tunaweza ichukulia utani, lkn ikaja kuwa na madhara makubwa sana.
Na kama hii ndo michezo ya bwana mkubwa, basi hizi ndo zitamtoa madarakani lkn sio sanduku la kura
Na sisi tuwe wakubwa tufaidi asee...
Itapendeza sana...
You Know Who anahonga sio mchezo. Ile kitu amemuhonga bi mdogo kusimamia kule tunapogombana na wazungu naona alimuweka kabisa asiwe anadai child support ajilie kule kule child support yake.You know anaweza kuhonga nyumba kubwa yeye akahamia nyumba ndogo. Mwanzo niliona watu kwenye uzi huu wamechizika lakini baada ya kufuatilia huu uzi nimewasoma!!! Chezeya utamu weye!
Una uhakika mama almasi ananywea mtori nyumba nyeupe?Padre hawezi kitu, ile nyumba iliyopakwa chookaa nyeupe ya chief haina malkia the new mommy amejitandaza kwa raha zake.
Ya nani etiIla si nasikia ni ya.......
AtapotezwaHivi ikitokea mwenye mali kamwaga mboga hadharani, nini hatima ya you know who?
Atapiga simu kwa Nabii pekupekuDuh Mrs you know who nina hakika machozi yake hayataenda bure
Mangi umeongea, hili suala likimpata mropokaji mmoja fyatu, hali ya hewa itaharibikaJamaa hana njaa na kiuchumi yupo vzr, sidhan kama hiko cheo kitamfanya apotezee jambo hili.
Afu ukoo wao wako vzr na sidhan km watakubali jamaa adhalilike.
Nahisi yeye anacho hofia ni usalama wake tu, na inaweza kuwa hata hicho cheo alichopewa ni baada ya ushawishi.mkubwa wa mkewe.
Hata huyu mama hili jambo litamsumbua sana, kwani anajua Mawaziri wenzie na wabunge wanajua, mke wa bwana mkubwa anajua.
Mwisho wa siku patachimbiaaa, na hii issue tunaweza ichukulia utani, lkn ikaja kuwa na madhara makubwa sana.
Na kama hii ndo michezo ya bwana mkubwa, basi hizi ndo zitamtoa madarakani lkn sio sanduku la kura
Kesharopoka dada wa taifa mbona, yeye pekee ndo mropokaji mwenye guts za kuropoka chochote. Kama kaongea na bado kuko shwari basi hakuna effect kwenye hili.Mangi umeongea, hili suala likimpata mropokaji mmoja fyatu, hali ya hewa itaharibika
Tatizo la Nchi hii ni kwamba hata tukijua kamuuwa yeye hakuna la kumfanya, tutaugumia chini kwa chini mwisho wa siku tunasahau.
Option aliyo nayo bwana mkubwa ili kuweka mambo sawa ni kumpoteza duniani, vinginevyo jamaa akija kuraruka na kumwaga mboga inaweza msababishia matatizo hata ya kujiuzulu "urahisi"
sa hivi yupo kwenye wizara ya makinikia
Jamaa hana njaa na kiuchumi yupo vzr, sidhan kama hiko cheo kitamfanya apotezee jambo hili..........
.....................makubwa sana.
Na kama hii ndo michezo ya bwana mkubwa, basi hizi ndo zitamtoa madarakani lkn sio sanduku la kura
Nikiandika zaidi naweza hitajika kupeleka mkojo kwa Mkemia mkuuHahaha kwan vip