Harry Porter na You know Who

Harry Porter na You know Who

Kwa sasa watu wengi sana wanajua issue kiasi kwamba akipotezwa itaonekana wazi kabisa. Na hata mkewe anaweza kuumizwa vibaya. Ikumbukwe yule numewe. Inawezekana anafanya anavyofanya kwa kuogopa tu.
Tatizo la Nchi hii ni kwamba hata tukijua kamuuwa yeye hakuna la kumfanya, tutaugumia chini kwa chini mwisho wa siku tunasahau.

Option aliyo nayo bwana mkubwa ili kuweka mambo sawa ni kumpoteza duniani, vinginevyo jamaa akija kuraruka na kumwaga mboga inaweza msababishia matatizo hata ya kujiuzulu "urahisi"
 
Jamaa mbona kapoa tu kapewa post nzuri na mama naye post nzuri?

Washaunga undugu wamewenza hao hapo hakuna cha kumwaga mboga wala mchuzi.

Kama kungekuwepo kumwaga mboga kunguru wote hawa wangeshasikia harufu na kudonoa zamani sana tu.

Usifanye mchezo na power.
 
Jamaa hana njaa na kiuchumi yupo vzr, sidhan kama hiko cheo kitamfanya apotezee jambo hili.

Afu ukoo wao wako vzr na sidhan km watakubali jamaa adhalilike.

Nahisi yeye anacho hofia ni usalama wake tu, na inaweza kuwa hata hicho cheo alichopewa ni baada ya ushawishi.mkubwa wa mkewe.

Hata huyu mama hili jambo litamsumbua sana, kwani anajua Mawaziri wenzie na wabunge wanajua, mke wa bwana mkubwa anajua.

Mwisho wa siku patachimbiaaa, na hii issue tunaweza ichukulia utani, lkn ikaja kuwa na madhara makubwa sana.

Na kama hii ndo michezo ya bwana mkubwa, basi hizi ndo zitamtoa madarakani lkn sio sanduku la kura
 
Unajua tunapomsema huyu bwana gubegube ni kwa mengi.

Huyu hana tofauti na mtu anayembaka housegirl.

Tofauti ni kwamba mtu wa kawaida anaweza kusema hajaomba heshima kubwa sana ya watu, hivyo akifanya uhuni ni poa tu.

Huyu kaomba hehsima kubwa kabisa kwa watu halafu kashindwa kujiheshimu.

Mtu anayeshindwa kufunga zipu mpaka kinakatikia hivyo ni hatari kwa usalama wa taifa.

Imagine maadui wa nje wakitaka kumkebehi kwa habari hizi.
 
You know anaweza kuhonga nyumba kubwa yeye akahamia nyumba ndogo. Mwanzo niliona watu kwenye uzi huu wamechizika lakini baada ya kufuatilia huu uzi nimewasoma!!! Chezeya utamu weye!
You Know Who anahonga sio mchezo. Ile kitu amemuhonga bi mdogo kusimamia kule tunapogombana na wazungu naona alimuweka kabisa asiwe anadai child support ajilie kule kule child support yake.
 
Jamaa hana njaa na kiuchumi yupo vzr, sidhan kama hiko cheo kitamfanya apotezee jambo hili.

Afu ukoo wao wako vzr na sidhan km watakubali jamaa adhalilike.

Nahisi yeye anacho hofia ni usalama wake tu, na inaweza kuwa hata hicho cheo alichopewa ni baada ya ushawishi.mkubwa wa mkewe.

Hata huyu mama hili jambo litamsumbua sana, kwani anajua Mawaziri wenzie na wabunge wanajua, mke wa bwana mkubwa anajua.

Mwisho wa siku patachimbiaaa, na hii issue tunaweza ichukulia utani, lkn ikaja kuwa na madhara makubwa sana.

Na kama hii ndo michezo ya bwana mkubwa, basi hizi ndo zitamtoa madarakani lkn sio sanduku la kura
Mangi umeongea, hili suala likimpata mropokaji mmoja fyatu, hali ya hewa itaharibika
 
Tatizo la Nchi hii ni kwamba hata tukijua kamuuwa yeye hakuna la kumfanya, tutaugumia chini kwa chini mwisho wa siku tunasahau.

Option aliyo nayo bwana mkubwa ili kuweka mambo sawa ni kumpoteza duniani, vinginevyo jamaa akija kuraruka na kumwaga mboga inaweza msababishia matatizo hata ya kujiuzulu "urahisi"

😵😵🙁 Nani ajiuzulu !?
HAJIUZULU MTU HAPA
 
Jamaa hana njaa na kiuchumi yupo vzr, sidhan kama hiko cheo kitamfanya apotezee jambo hili..........
.....................makubwa sana.

Na kama hii ndo michezo ya bwana mkubwa, basi hizi ndo zitamtoa madarakani lkn sio sanduku la kura

Waapi?
Tutampata wapi kama huyu asiye na makandokando?
 
Back
Top Bottom