Baada ya kusoma comments za uzi huu! Inaonesha wengi humu ndani aidha ni single mothers au product zao. Mleta uzi yupo sahihi kwani mtoto ana pande mbili. Baba na mama, hata angelikuwa mtoto wa Padre anayefichwa kama madawa ya kulevya.Nipo kwenye harusi upande wa bibi harusi meza kuu hakuna baba,wala baba wadogo wala wakubwa meza kuu wapo mama mama wadogo wajomba watoto wa wajamba kaka zake na dada zake tu
mean kijana kaenda kuoa binti alielelewa na single mother na hakuwa na mahusiano mazuri na baba zake
Aiseeeh! Ila sio wajibu wa baba kumrafuta mtoto wake? Hii ni maajabu!!Mtoa mada anamlaumu binti kwa vile alitakiwa amtafute baba baada ya kujitambua. Huo ni wajibu pia wa mtoto, si Mzazi pekee
Epuka mihemko ukiwa unasoma comment usiyo ipenda. Angalia vizuri, sikusema si wajibu wa baba yake, nilisema ni wajibu wa baba na mtoto piaAiseeeh! Ila sio wajibu wa baba kumrafuta mtoto wake? Hii ni maajabu!!
Hizi mentality ndizo zimetujengea jamii ya wanaume wa hovyo wenye kauli kama "mimi ni baba yake, atanitafuta mwenyewe". Usipotafutwa sasa lawama unazimwaga kwa ntoto ambae wala hakuhusika na ugomvi wenu (kama ulikuwepo). Hebu acheni ujinga, muwe responsible kwa matendo yenu.
Wamekuvamia hawataki hata upumue πWatoto wa masingle mother mmevamia huu uzi
Khs suala la single mothers kujaa humu h n uhakika 95%Baada ya kusoma comments za uzi huu! Inaonesha wengi humu ndani aidha ni single mothers au product zao.
Msiwatwishe watoto mizigo yenu. Ni wajibu wa mzazi kumtafuta mtoto wake na sio wa mtoto. Kama umeamua kutokuwa katika maisha ya mtoto wako ni kwanini uone una haki ya kutafutwa?Epuka mihemko ukiwa unasoma comment usiyo ipenda. Angalia vizuri, sikusema si wajibu wa baba yake, nilisema ni wajibu wa baba na mtoto pia
Mtoto kuingilia matatizo ya wazazi ni kosa! Na nyie akinamama, msipende kuwaingiza kichwa kichwa katika tofauti zenu na waliowapa mimba. Hii nimeiona na inashamiri ajabu, mwanaume usipokuwa makini unasema to hell. Yalishatufika tuna mifano hai.Msiwatwishe watoto mizigo yenu. Ni wajibu wa mzazi kumtafuta mtoto wake na sio wa mtoto. Kama umeamua kutokuwa katika maisha ya mtoto wako ni kwanini uone una haki ya kutafutwa?
Na wewe umeona! Namsifu bikira latifah kwa uzi maridhawaKhs suala la single mothers kujaa humu h n uhakika 95%
Binafsi sijaona tatizo kwenye hii mada, na hata kama kuna tatizo bc sio kupelekea kupata hizi comments za waja humu mana naona zimejaa makasiriko mengi kupitiliza.
Hapo usimlaumu mtoto, hajaingilia chochote. Amekua bila uwepo wa baba yake na wala baba hakuwa tayari kumtafuta. Akiamua naye kutokumtafuta baba yake kwanini umuone mbaya?Mtoto kuingilia matatizo ya wazazi ni kosa! Na nyie akinamama, msipende kuwaingiza kichwa kichwa katika tofauti zenu na waliowapa mimba. Hii nimeiona na inashamiri ajabu, mwanaume usipokuwa makini unasema to hell. Yalishatufika tuna mifano hai.
Aloo kumbe ni bro, hiyo bikira alonayo ni ipi sasa ππTafuta mume uolewe bro, labda itakusaidia kidogo.
Hawezi kurudia, kapashwa wakati bado wa moto, wahuni wameshuka nae jumla jumla hata wakati bado hajamaliza uzi wake.Mleta uzi limekukuta jambo.
Siku ingine usirudie. π π
Lazima ujue na ufahamu sio kila.mtuu amefanikiwa kuwa na hivyo vyote ulivyotajaa.Nipo kwenye harusi upande wa bibi harusi meza kuu hakuna baba,wala baba wadogo wala wakubwa meza kuu wapo mama mama wadogo wajomba watoto wa wajamba kaka zake na dada zake tu
mean kijana kaenda kuoa binti alielelewa na single mother na hakuwa na mahusiano mazuri na baba zake
Hahahaaa. Kwenye hili mleta uzi kajichanganya kweli kweli. Na huenda hajaisoma vizuri Jf namna ipo.JamiiForums usijichanganye uanzishe mada halafu commenter wa kwanza akaenda against na mawazo yako alooh maji utaita mma.
Naungana nawe lakini naye alipaswa adadavue sasa ili aeleweke na pia ile paragraph yake ya mwisho kama umeisoma vyema ile ndo imezidisha jazba. πKinachoendelea kwenye huu uzi kinatokana na aliyetuma post #2 alivyoupokea huu uzi but binafsi mimi naona mleta mada yupo sahihi kushangaa upande wa wakwe kutokuwa na mzazi wa kiume,je alikufa,alifukuzwa nyumbani hakumlea mtoto au kitu gani?ni vingi vya kujiuliza hapa!