Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Hahahaha,Kuna Moja hiyo imefungwa juzi juzi, yaani kuanzia Mama wa bi harusi , Single mother,, mama wadogo nao single mother wako wa 4 wote single mother, Shangazi Yao mkubwa naye single mother, usikute ndio hii unayosema MkuuNipo kwenye harusi upande wa bibi harusi meza kuu hakuna baba,wala baba wadogo wala wakubwa meza kuu wapo mama mama wadogo wajomba watoto wa wajamba kaka zake na dada zake tu
mean kijana kaenda kuoa binti alielelewa na single mother na hakuwa na mahusiano mazuri na baba zake
Mkuu naona unataka bikira latifah aje sasa kwenye uzi wake mana bila shaka alishaukimbia baada ya kuona kabakia peke yake. πNa wewe umeona! Namsifu bikira latifah kwa uzi maridhawa
Hahahaha na mama zaoWatoto wa masingle mother mmevamia huu uzi
Watoto wa masingle mother wamevamia huu uziMleta mada anajiandaa kwa kurusha makombora ya kibalistiki.
I think this show will go down to the wire.
Daah! Hadi nime muhurumia.Hawezi kurudia, kapashwa wakati bado wa moto, wahuni wameshuka nae jumla jumla hata wakati bado hajamaliza uzi wake.
Na ndio wamevamia humu ukiona binti kaolewa hakuna baba alieonzesha kimbia products za single mother hizoBaada ya kusoma comments za uzi huu! Inaonesha wengi humu ndani aidha ni single mothers au product zao. Mleta uzi yupo sahihi kwani mtoto ana pande mbili. Baba na mama, hata angelikuwa mtoto wa Padre anayefichwa kama madawa ya kulevya.
Mtoa mada anamlaumu binti kwa vile alitakiwa amtafute baba baada ya kujitambua. Huo ni wajibu pia wa mtoto, si Mzazi pekee
Watoto wa masingle mother wanaochukia baba zao wamevamia hapa hatariComments zinachekesha [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] masingle mother na watoto waoWakuu, msameheni mtoa mada [emoji23] mashambulizi ni mengi mno
Single mothers wamecharuka π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] masingle mother na watoto wao
Wanataka kuua πMasingle mother mmeitana
Mleta uzi amesema nyie masingle mothers mmevamia uzi πMleta uzi limekukuta jambo.
Siku ingine usirudie. π π
Huyo mtoto nae ataachwa single mother πHahahaha,Kuna Moja hiyo imefungwa juzi juzi, yaani kuanzia Mama wa bi harusi , Single mother,, mama wadogo nao single mother wako wa 4 wote single mother, Shangazi Yao mkubwa naye single mother, usikute ndio hii unayosema Mkuu
Mana mnaweza kumkuta kwenye uzi zingine mkaanza kumkumbushia huu uzi πMtoa mada nipo nae hapa kasema wiki hii atakua msomaji tu.
Imebidi nirudi nizisome tena πIla Post namba #14 #17 na #18. π
Hahahaa. Zimejua kunichekesha Wallahi. Daah! π€£π€£π€£
Mm niko upande wa mtoa mada, aje tuu ntashirikiana nae kupambana na hawa single mothers na products zao zilizovamia uzi wake πMkuu naona unataka bikira latifah aje sasa kwenye uzi wake mana bila shaka alishaukimbia baada ya kuona kabakia peke yake. π
Mmemnyoosha Sana kala spana size kubwa.Mana mnaweza kumkuta kwenye uzi zingine mkaanza kumkumbushia huu uzi π