King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mbona gogoki amesema Ayo ni Mchicha Mwiba? Na Da Mange kasema Jizo ni Top Gay.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio uone ujinga wa vijana wa Sasa...Habari wadau,
Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake.
Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25.
Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu.
Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa.
Mbona vijana waliofanikiwa na wenye utajiri wa mali na utajiri wa watu na connections kali hawapendi mbwembwe wameoa kwa harusi za kimya kimya.
Millard Ayo ni kijana aliyefanikiwa mwenye utajiri wa kutosha tu. Marafiki anao kibao wa kuwachangisha, ila hakufanya hivyo wakati anaoa alioa kimya kimya harusi simple ya kwenda kanisani tu na mkewe kisha kila mtu kwake. Hakuna cha ukumbi wala cha Mc garab wala nani.
Majizo nae mmiliki wa efm hivyo hivyo alioa kimya kimya, yeye na lulu kanisani tu then kila mtu kwake.
Why na kina sisi vijana maskini hatujifunzi. Yaani mtu anachukua mkopo ofisini kwa ajili ya kufanikisha harusi.
Mtu anasumbua watu michango kisa harusi.
MASKINI TUNA UJINGA MWINGI SANA
😃😃 huyu kaka arudi tu. Akukanye mapema kabisa
Ukiona mtu kama Millard anaoa kWa siri ujue alikua anakwepa kuvuruga ndoa maana walikua wengiHabari wadau,
Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake.
Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25.
Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu.
Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa.
Mbona vijana waliofanikiwa na wenye utajiri wa mali na utajiri wa watu na connections kali hawapendi mbwembwe wameoa kwa harusi za kimya kimya.
Millard Ayo ni kijana aliyefanikiwa mwenye utajiri wa kutosha tu. Marafiki anao kibao wa kuwachangisha, ila hakufanya hivyo wakati anaoa alioa kimya kimya harusi simple ya kwenda kanisani tu na mkewe kisha kila mtu kwake. Hakuna cha ukumbi wala cha Mc garab wala nani.
Majizo nae mmiliki wa efm hivyo hivyo alioa kimya kimya, yeye na lulu kanisani tu then kila mtu kwake.
Why na kina sisi vijana maskini hatujifunzi. Yaani mtu anachukua mkopo ofisini kwa ajili ya kufanikisha harusi.
Mtu anasumbua watu michango kisa harusi.
MASKINI TUNA UJINGA MWINGI SANA
Unaona Waswahili tulivyobna vurugu😆🤣Kuona nini🤔