Harusi ya Majizzo, Millard Ayo: Vijana matajiri hawapendi kuchezea pesa zao wala kusumbua watu na michango

Mbona gogoki amesema Ayo ni Mchicha Mwiba? Na Da Mange kasema Jizo ni Top Gay.
 
Ndio uone ujinga wa vijana wa Sasa...
Bure kabisa...🤬🤬🤬🤬🤬
 
Ukiona mtu kama Millard anaoa kWa siri ujue alikua anakwepa kuvuruga ndoa maana walikua wengi
 
mpaka umri huu sijawahi changia harusi,.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…