Harusi ya Mwanamuziki Ali Kiba kurushwa live na Azam Tv pekee

hahaaaa haaaa...dawa imeingia bila shaka
 
Mbona Mange kila kitu anasema kimepangwa kutupoteza. Ina maana mtu asifunge ndoa kwasababu ya maandamano. Huyu dem vipiii....
 
acha uongo ali kiba100 hapendi show off harusi utawea ndani ya masai club
 
Ni muendelezo wa mawazo ya kimaskini uliogubika nchi zetu za kiafrica, kwani akifanya kawaida atapungukiwa nini kuliko kutumia fedha vibaya kiasi hiko? Watu wanakufa njaa huko badala ya kuwasaidia wao wanafuja fedha!!!.
Wethr kinachoongelewa ni kweli au lah...wew hujakielewa! Soma upya uelewe
 
fact kabisa sema wabongo kwa kujitia ujinga hawajambo
 
Ahahaaaaaaaaaaah...
Ebu tuache kufanyana wapuuzi..!
Ina maana uchumi wa nchi yetu umekua mkubwa namna hii..?
 
Ni mipango ya mkuu wa mkoa kumtoa da Mange kwenye reli
 
Milioni 200+ kwaajili ya kurusha tukio la harusi tu,au kuna kingine..!?
 

Acha uwongo wewe
hiyo pesa Azam atapata faida gani
A single day tena masaa 4 tu alipwe Million 200 wadanganye wenzako
 

Dada wewe unapata shilingi ngapi hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…