Watu wangu wanateketea kwa kukosa maarifaAzam Media weingia Makubaliano na Management ya Alikiba Kurusha Live Tukio la Harusi yake Litakalo anzia Mombasa Kenya Mpaka Dar es salaam Tanzania. Mkataba huo ni wenye Thamani ya Milioni 234,330,500/= Unamfanya Alikiba kua Msanii wa Kwanza Kufanya Tukio la Kipekee kama Hilo. Ndoa hiyo inatarajiwa kufungwa hivi Karibuni wiki hii. Hongera kwa Management nzima ya Alikiba na Wasaidizi wake.
Si walisemaga huyu ni mtu asiependa kujionesha? Ngoja nisuburie kama kweli harusi yake itakua televised
wanafaidika vipi mpk walipe pesa zote hizo ?It's $ 90,000/= Piga hesabu mkuu
Hao wanaokufaa njaa hawana serikali?Ni muendelezo wa mawazo ya kimaskini uliogubika nchi zetu za kiafrica, kwani akifanya kawaida atapungukiwa nini kuliko kutumia fedha vibaya kiasi hiko? Watu wanakufa njaa huko badala ya kuwasaidia wao wanafuja fedha!!!.
Vp hujapata ata kapicha utupie na sisi wa DSTV tuone?Mambo ni fireeeeeee!!ndani ya Azam wamevaa kiheshima mpk rahaa
Wabongo mjifunze kuvaa vizurii!!magauni mazuri ya heshimaa
Hahaaa!camera mbovuu ndugu yanguu!!!wamevaa kiheshima haswaaa ukumbini!Vp hujapata ata kapicha utupie na sisi wa DSTV tuone?
Hii imesababushwa na uminywaji wa uhuru wa habari mkuuWatanzania:Mambo ya msingi vs upupu![emoji116][emoji53][emoji53]View attachment 750311
Aisee!! Sawa basi ila uipelekage kwa fundi sasaHahaaa!camera mbovuu ndugu yanguu!!!wamevaa kiheshima haswaaa ukumbini!
Ntaipeleka my dear!!Aisee!! Sawa basi ila uipelekage kwa fundi sasa
Hili lijamaa ndo linanyota ya kufuatiliwa yan wanaolipenda na kulichukia wote wanalifuatilia dailyWatanzania:Mambo ya msingi vs upupu![emoji116][emoji53][emoji53]View attachment 750311
Hahaaaahaaa!kabisaaWatanzania:Mambo ya msingi vs upupu![emoji116][emoji53][emoji53]View attachment 750311
Sawa mwayaNtaipeleka my dear!!
Zitto Kabwe hapo alipata tu waandishi wa habari uchwara wa online tv na blogs kama wawili watatu hivi siku ile anachambua ripoti ya CAG ya upotevu wa trillion 1.5 feza za walipa kodi!.....ila muone huyo jamaa mwingine huyo na mic zake sijui alikuwa anaomba radhi huko TCRA kwa kuweka dushe lake kwenye mitandao kitu kama hicho![emoji53][emoji53][emoji53]Hahaaaahaaa!kabisaa
Lakini point inabaki pale pale hua anasema sio mtu wa kujionesha lakini ndo hivyo alitaka kujionesha lakini haikuwezekanaAnajionyesha kwenye mambo muhimu ya kheri yampendezayo Mungu sio ujinga wa kutia vidole wanawake
Pesa zipi? mbona hawajarusha live?Deal la pesa hilo mzee