Watu wangu wanateketea kwa kukosa maarifaAzam Media weingia Makubaliano na Management ya Alikiba Kurusha Live Tukio la Harusi yake Litakalo anzia Mombasa Kenya Mpaka Dar es salaam Tanzania. Mkataba huo ni wenye Thamani ya Milioni 234,330,500/= Unamfanya Alikiba kua Msanii wa Kwanza Kufanya Tukio la Kipekee kama Hilo. Ndoa hiyo inatarajiwa kufungwa hivi Karibuni wiki hii. Hongera kwa Management nzima ya Alikiba na Wasaidizi wake.