Harusi ya Nandy na Billnas ni Juni 25, 2022

All the best I love them!!!
 
Mapenzi bwana mnaeza mkadumu kwenye uchumba miaka hata saba ila kwenye ndoa mwaka mmoja visa kibao na ni mara chache sana ndoa za wasanii kwa wasanii kudumu ila mungu awatangulie.
mungu yupi?
 
Kwenye kumvalisha pete naona Nenga kapiga magoti yote wawili yani daahπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hivi si alishavishwaga Pete huyu!au waliufuta uchumba wakaanza upya!




Mungu awatangulie sana wasiache kusali pamoja maana ndio kipindi ambacho anko Devil huanza vurugu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nampenda Sana Nandy, nadhani ndo mwanamke mzuri kuliko wote Tanzania kwa mtazamo wangu.Hongere kijana Billnass
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] make ups, photoshoot, na filters? Au nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…