M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
mkuu umenikumbusha nyimbo tulizokuwa tunaimba kwenye mchakamchaka praimairi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu umenikumbusha nyimbo tulizokuwa tunaimba kwenye mchakamchaka praimairi!
Huwa ninawaza kambona angekuwa waziri mkuu meenye maamuzi asingetuacha tuoze kwenye lugha ya Malkia kama tulivyo. Maana ninasikia mjomba alitema lile la Oxford. Ninadhani hiyo pia ilikuwa sababu moja ya kupendwa na mabeberu.Hawa watu walipishana kifikra hivyo ndiyo maana yakatokea yaliyotokea. Wakati Kambona aliishi kibepari Nyerere aliishi kijamaa na alikuwa akienda China, Urusi na Ulaya mashariki kujifunza jinsi ya kukomaza ujamaa Tanzania. Kifupi wasingeiva na walivyoongoza ndivyo wameishape Tanzania ya leo kuwa hivi ilivyo.
Huwa ninawaza kambona angekuwa waziri mkuu meenye maamuzi asingetuacha tuoze kwenye lugha ya Malkia kama tulivyo. Maana ninasikia mjomba alitema lile la Oxford. Ninadhani hiyo pia ilikuwa sababu moja ya kupendwa na mabeberu.
Nimeisikiliza na kuirudia tena na tena. Alikuwa na Kiingereza kizuri sana.
Kambona aliingizwa mkenge tu na kundi lililomchukia nyerere
Hata km ni wewe ungekuwa rais kipindi nchi inapata uhuru halafu watokee watu wanayoyumbisha ujenzi wa msingi wa taifa sidhani km ungewachekea
God first
Acha kusingizia wazungu kwa kila kitu, Nyerere alipotaka kupinduliwa na jeshi mwaka 1964 nani alizima maasi yale kama si askari wa muingereza?. kama wangetaka aondoke si wangemuondoa tu mwaka huo nakumuachia nchi Kambona aliyeshiriki kikamilifu kuzima yale maasi?
Uvumilivu wa kukubali siasa za ndiyo mzee? Mzee wenyewe alisema hadharani kuwa baadhi ya maamuzi yake hayakuwa na tija.
Kambona alisimamia alichokiamini.
He was a lawyer by profession and was a good negotiator too. He had a charisma that is what I was told.Tena inasemekana ni kambona pekee ndiye aliyeenda kambin kuongea na wakuu wa majeshi kuwasikiliza na kunegotiate nao. Wakati huo nyerere na kawawa wakiwa wamefichwa wasionekane. Kambona kaenda kunegotiate na wajeda kusikiliza madai yao na kuwatuliza kisha kumrudisha nyerere on power angekuwa anakitaka iko kiti cha uraisi huo ndo ulikuwa muda wake kwa sababu he was the defensive minister na jeshi lilikwa linamkubali sana kuliko hata huyo nyerere mwenyewe. Jamaa inabidi ajiulize kama alikuwa anataka kumpindua nyerere kwa nini hakumpindua muda huo na yy awe raisi?? Muda huo nyerere was very weak na alikuwa amejificha jeshi lisimpate isingekuwa kambona leo tungekuwa na historia tofauti ya nchi yetu.
Nadhani hii ndo sababu pekee kwa nn nyerere hakuamua kumuua na kumwacha asepe alipokuwa anakimbia nchi. Nyerere alilipa tu fadhila!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sure!Enzi hizo Za Siasa Za Kijamaa watu hawakutaka ku reason
Tuliambiwa Kambona kakimbia Na Pesa zote Za Hazina ndio sababu Nchi ina Ukame, njaa Na Kila aina ya Mabalaa
Tukaimbishwa Nyimbo Za kumdhihaki Kambona Kuwa anatumwa Na Makabaila Na Mabebebru
Nakumbuka sehemu ya Nyimbi hizo
'... Siri imefichuka Kambona boi wa Wazungu...'
Taifa hili haitokuja kutokea kupata Rais Mwenye Propaganda chafu kama Mzee Nyerere
Hii harusi ilikuwa classic, nimependa nguo ya bibi harusi.Nimewapenda hao madada maids.... Wamevaa nadhifu kwa kujisetiri simple asilia and still beauty.
Maids wa bongo waige haya sio kuvaa mipasuo na bana hips mbele ya mume wa mwenzao looh!!!
So wanaume wote wanaweza kuvumilia majaribu.
Siyo kwamba watu hawakutaka ku reason, ni kwamba walibanwa vilivyo. Mwl hakupenda kujadiliana na yeyote yule aliyepinga mawazo, fikra au maoni yake. Baada ya Uhuru positions zote za juu serikalini na ktk chama zilikuwa chini ya Mchonga.Enzi hizo Za Siasa Za Kijamaa watu hawakutaka ku reason
Tuliambiwa Kambona kakimbia Na Pesa zote Za Hazina ndio sababu Nchi ina Ukame, njaa Na Kila aina ya Mabalaa
Tukaimbishwa Nyimbo Za kumdhihaki Kambona Kuwa anatumwa Na Makabaila Na Mabebebru
Nakumbuka sehemu ya Nyimbi hizo
'... Siri imefichuka Kambona boi wa Wazungu...'
Taifa hili haitokuja kutokea kupata Rais Mwenye Propaganda chafu kama Mzee Nyerere
Mchonga bwana, alipofariki Kambona mwaka 1997, huyu Flora hakutumiwa hata salaam za rambi rambi. Mchonga akikuchukia kakuchukia, harudi nyuma.