Haka ka binti Sky Eclat kana powers fulani ndani yake, zinaitwa the powers of auto suggestion, kama ilivyo hyonotic powers, sasa katuletea picha ya mtu tuu na kutuambia ni Nyerere, kupitia hizo powers zake, wengi wakiangalia tuu hiyo picha, wanamuona Nyerere, wachache wakauliza mbona sio Nyerere, kakajibu ni Nyerere, hivyo wameamini.
Mimi bahati nzuri Nyerere sio namjua kwenye picha, bali nimefanya nae kazi South South Commission, hivyo kwa kuiona tuu hiyo picha, unaona kabisa huyo sio Nyerere.
Amini macho yako, ukimuona ni Nyerere, kaamini hako kabinti, ukimuona sio, niamini mimi.
P