May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Huyo Mtu hapo mbona hafananii Mwalimu aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Mtu hapo mbona hafananii Mwalimu aisee.
Kambona aliingizwa mkenge tu na kundi lililomchukia nyerere
Hata km ni wewe ungekuwa rais kipindi nchi inapata uhuru halafu watokee watu wanayoyumbisha ujenzi wa msingi wa taifa sidhani km ungewachekea
God first
Maneno yako yana ukweli ndani yake, Hata mimi nilijiuliza askari hawa walipataje kulinda hii harusi wakati Kambona wala mkewe hawakuwa wa familia ya kifalme ya Uingereza. Kwanza kupata kibali cha kufunga ndoa St Paul’s si jambo la kitoto.
Hata alivyokimbilia Uingereza, alikuwa na matumaini ya kuendeleza mapambano ya kumng’oa Nyerere akiwa nje ya nchi.
Bahati mbaya au nzuri, ule ulikuwa ni wakati wa Cold War na Ujerumani Mashariki walitoa mafunzo mengi kwa Usalama wa Taifa. Tanzania ilikuwa na itelejensia ya hali ya juu.
Acha ujinga, kwani kila uvumi uliosikia enzi zile ilikuwa ni habari rasmi?Enzi hizo Za Siasa Za Kijamaa watu hawakutaka ku reason
Tuliambiwa Kambona kakimbia Na Pesa zote Za Hazina ndio sababu Nchi ina Ukame, njaa Na Kila aina ya Mabalaa
Tukaimbishwa Nyimbo Za kumdhihaki Kambona Kuwa anatumwa Na Makabaila Na Mabebebru
Nakumbuka sehemu ya Nyimbi hizo
'... Siri imefichuka Kambona boi wa Wazungu...'
Taifa hili haitokuja kutokea kupata Rais Mwenye Propaganda chafu kama Mzee Nyerere
Mimi nilichoelewa ni kwamba hata kama Mwalimu ndio alikuwa best man ila hapo kwenye hiyo picha hayupo.Haka ka binti Sky Eclat kana powers fulani ndani yake, zinaitwa the powers of auto suggestion, kama ilivyo hyonotic powers, sasa katuletea picha ya mtu tuu na kutuambia ni Nyerere, kupitia hizo powers zake, wengi wakiangalia tuu hiyo picha, wanamuona Nyerere, wachache wakauliza mbona sio Nyerere, kakajibu ni Nyerere, hivyo wameamini.Mimi bahati nzuri Nyerere sio namjua kwenye picha, bali nimefanya nae kazi South South Commission, hivyo kwa kuiona tuu hiyo picha, unaona kabisa huyo sio Nyerere.Amini macho yako, ukimuona ni Nyerere, kaamini hako kabinti, ukimuona sio, niamini mimi.P
Acha ujinga, kwani kila uvumi uliosikia enzi zile ilikuwa ni habari rasmi?
Yale yote tuliyosikia kuhusu Mzee Kawawa, kama vile hajui kusoma n.k...au kifimbo cha Mwalimu kilikuwa na uchawi wewe na wenzako mliamini?
Kama walipishana basi ni lazima kila mmoja alikuwa na lake analosimamia, ndio kilichotokea, na yaliyopita si ndwele...

Msikilize huyo Mzee na Kisa cha Hanga , Kambona na Nyerere
Siwezi kusikiliza hizi hekaya za Abunuasi.
Ok,Basi kakimbize mwenge ukumulikie mchana uone
Mimi mchango wangu hukatwa kabisa kwenye mshahara.Usisahau na pesa ya mchango wa mafuta ya mwenge
Mimi mchango wangu hukatwa kabisa kwenye mshahara.
Enzi hizo Za Siasa Za Kijamaa watu hawakutaka ku reason
Tuliambiwa Kambona kakimbia Na Pesa zote Za Hazina ndio sababu Nchi ina Ukame, njaa Na Kila aina ya Mabalaa
Tukaimbishwa Nyimbo Za kumdhihaki Kambona Kuwa anatumwa Na Makabaila Na Mabebebru
Nakumbuka sehemu ya Nyimbi hizo
'... Siri imefichuka Kambona boi wa Wazungu...'
Taifa hili haitokuja kutokea kupata Rais Mwenye Propaganda chafu kama Mzee Nyerere
Kumbe Sijui Alikuwa Wa Sanya Juu Ama SihaMchaga