Harusi ya Oscar na Flora Kambona iliyofanyika katika kanisa juu la Mtume Paulo mjini London

akini Kambona na Nyerere hawakuzidiana hata miaka mitano. Hivyo suala la kumrithi lisingewezekana na ndiyo maana Nyerere alilijua akawa na tahadhari na Kambona mapema sana.
mbona nyerere na mwinyi hawakutofautiana hata mwaka mmoja lakini nyerere kamwachia uraisi?
 
Uvumilivu wa kukubali siasa za ndiyo mzee? Mzee wenyewe alisema hadharani kuwa baadhi ya maamuzi yake hayakuwa na tija.
Kambona alisimamia alichokiamini.
unasimamia unachokiamini chini ya mtu? kazi yake ilitakiwa kua nyepesi kwa kutekeleza anachoambiwa na mkuu wake. Uingereza walikua hawataki Tanzania ya kijamaa na ndo waliomharibia.
 
View attachment 1051542

Julius Nyerere ndiye alikuwa mpambe wa bwana harusi.
Mkuu Sky Eclat, asante kwa kumbukumbu hii, taarifa kuwa Harusi ya Kambona, Nyerere ndiye alikuwa Best Man, niliwahi kuzisikia, ila leo ndio nimeona picha.

Huyo best man kwenye hii picha sio Nyerere, na huyo maid if honor, pia sio mama Maria.

Kambona, Mtawali, Chipaka, Kanyama Chiume, etc, kabila ni wa Nyasa kutoka Makawi. Wakati wa mkoloni Mwingereza, Wamalawi ndio walikuwa very smart kwa clerical jobs. Wamalawi na Wanyasa wako very smart hadi Nywele, wanakata way waonekane kama wazungu.

Mpaka leo Wamalawi ni wasafi, there were times, the clienest city in Africa, was Lilongwe. Nimeishi kidogo Blantire, ila kwa mambo yetu yale, Wamalawi, hakuna kitu.
P
 
Mkuu kwa hiyo kwenye mambo yenu sio wazuri
 
Mkuu una habari mpaka 2007 Wamalawi waliingia Uingereza bila viza. Ugomvi wa ziwa Nyasa Waingereza waliwaambia watawapa na lawyer bure wakipeleka kesi mahakamani.

Kuna hospitali ya ma-TX Blantyre ukifanya kazi hapo kwa miaka miwili unaweza kuomba ajira direct NHS.
 
Tuamini lipi sasa?
 
Tuamini lipi sasa?
Haka ka binti Sky Eclat kana powers fulani ndani yake, zinaitwa the powers of auto suggestion, kama ilivyo hyonotic powers, sasa katuletea picha ya mtu tuu na kutuambia ni Nyerere, kupitia hizo powers zake, wengi wakiangalia tuu hiyo picha, wanamuona Nyerere, wachache wakauliza mbona sio Nyerere, kakajibu ni Nyerere, hivyo wameamini.​
Mimi bahati nzuri Nyerere sio namjua kwenye picha, bali nimefanya nae kazi South South Commission, hivyo kwa kuiona tuu hiyo picha, unaona kabisa huyo sio Nyerere.​
Amini macho yako, ukimuona ni Nyerere, kaamini hako kabinti, ukimuona sio, niamini mimi.​
P​
 
Hata Mimi nilimzoom nikajisemea huyu sio nyerere nikajipatia majibu labda hajaonekana kwa picha

Pia huwa sina tabia ya kubishana na mwanamke nikaamua kuacha yapite

Lakini huyo sio nyerere angalia hata mgongo tu sio yeye kabisa
 
Mkuu SKY, you are very powerful woman mwanamke wewe, una nguvu zinazoitwa the powers of auto suggestions, ni hypnotic powers ambazo wana mazingaombwe wanazitumia.

Umeweka picha ya mtu na kusema ni Nyerere, watu Nyerere tunamjua, na tunaona kabisa huyo sio Nyerere lakini wengi wakiangalia tuu kwa makini, wanamuona ni Nyerere! kutokana na power of auto suggestion yako.

Kama bado uko single, ukitokea mtu wa mtu akakupitia anga zako, mwenye mali aandike maumivu, atahangaika sana!, mpaka utakapoamua wewe kuachia.

P
 
Umeamua kujipigia pande afisa[emoji3]
 
Hivi alijaaliwa watoto mzee wetu Kambona ?sijawahi kuwasikia
 
Umeamua kujipigia pande afisa[emoji3]
No sijipigii pande, bali, kuna watu wana powers bila kujijua, hivyo sisi wenye jicho la kuwabaini, tunawajulisha na ikibidi kuwa mentor man to man ili waweze ku open their power gates.
Hivyo usiwe na wasiwasi kabisa na mimi.
P
 
Hakuna Nyerere acheni kuzuga watu jamani!! Huyo mnayesema ni Nyerere wala site yeye.
 
Hawakuja kumlinda Kambona, bali ni kwa sababu ya Nyerere ambaye wakati huo alikuwa ni Chief Minister kwenye serikali ya Tanganyika chini ya Malkia. Vile vile uwapo wa watu wengi bila kujali ni nani mhusika, ni lazima usalama wa raia uhakikishe na vyombo vya dola.

 

Nimejaribu ku imagine the late Nyerere in his late 50s na zile speech zake na hayo maneno kwenye bold nimecheka sana! It's sad but funny still!

Mzee Nyerere played with the fact (kwa nyakati zile) that almost the all country is '"educationless"' & ignorant of reasoning kama ambavyo wanafanya wanasiasa wengi kwa sasa hapa Tanzania, Africa na dunia nzima (kwa nyakati hizi) japo kwa sasa wanatumia zaidi tactic ya 'divide & rule', meaning wanawatumia/wanatumia ujinga + kutokujitambua kwa wachache wetu kuumiza wengi wetu!

*Ulimi ni Silaha, Nyerere used it to his advantage!
*My opinion!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…