Harusi ya Oscar na Flora Kambona iliyofanyika katika kanisa juu la Mtume Paulo mjini London

Kambona aliingizwa mkenge tu na kundi lililomchukia nyerere

Hata km ni wewe ungekuwa rais kipindi nchi inapata uhuru halafu watokee watu wanayoyumbisha ujenzi wa msingi wa taifa sidhani km ungewachekea



God first


Ujenzi wa msingi wa Taifa upi ?? huu wa kuchukua mashamba na majumba ya watu bila fidia yoyote?? Hivi wewe ungalikubali ??
 

Inteligensia hii ya kukamata watu hovyo na kuuangusha uchumi ??
 
Acha ujinga, kwani kila uvumi uliosikia enzi zile ilikuwa ni habari rasmi?

Yale yote tuliyosikia kuhusu Mzee Kawawa, kama vile hajui kusoma n.k...au kifimbo cha Mwalimu kilikuwa na uchawi wewe na wenzako mliamini?

Kama walipishana basi ni lazima kila mmoja alikuwa na lake analosimamia, ndio kilichotokea, na yaliyopita si ndwele...
 
Mimi nilichoelewa ni kwamba hata kama Mwalimu ndio alikuwa best man ila hapo kwenye hiyo picha hayupo.
 
Huyu Kambona alijaa uzungu mwingi, angalia muonekano wake, anavyoongea hicho kiingereza kwa makidai, harusi kafungia huko huko....ni wazi wasingeiva na Mzee.
 


Mbona nyimbo za kumkashifu Kambona zilikuwa nyingi na nyengine zikiimbwa mashuleni na redioni
 


Msikilize huyo Mzee na Kisa cha Hanga , Kambona na Nyerere

 

Mfano mdogo wa propaganda kali za Mwalimu ni kuwa Iddi Amini anakula nyama za watu. Ajabu hadi leo watanganyika wanaamini hivyo. [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…