Huwalipi wewe wanalipa kamati, kuna zile kamati ndogondogo kuna kamati ya burudani, humo wapo na maids ili kuchangamsha sherehe..!!Sawa madam, ila serious nawalipa watu waje kwenye harusi yangu? Maids?
Tatizo ni nyie wanawake. Sisi wanaume hatuna shida...!Unaweza kufanya harusi ya kizungu Tu,unaandaa Kila kitu mwenyewe simple Tu then Unaalika watu wachache wanakuja mnasherehekea pamoja kwisha!!
Wanachezaje, wanakatika au? maanake cheza ya harusi huwa hainogi. Kizunguzungu bridesmaids ni watu wa karibu wa bibi harusi na hawalipwi.Huwalipi wewe wanalipa kamati, kuna zile kamati ndogondogo kuna kamati ya burudani, humo wapo na maids ili kuchangamsha sherehe..!!
Na hao maids wanalipa kamati ili wapewe huo mchongo.
Oa kwanza kisha utaelewa 😹Wanachezaje, wanakatika au? maanake cheza ya harusi huwa hainogi. Kizunguzungu bridesmaids ni watu wa karibu wa bibi harusi na hawalipwi.
Waswahili mnazidi kubuni njia za kupiga hela.
Kama ni raha sana anza kuoa wewe.Oa kwanza kisha utaelewa 😹
Kuingia ukumbini wakicheza amapianoHao maids kazi yao inakuwa ni nini haswa?
Ndugu wa kike wa wanandoa wakijipanga hiyo kazi wanaifanya bure tu.Kuingia ukumbini wakicheza amapiano
Alafu miezi 6 ikipita mmechokana, sioi kwa mbwembwe hizoKwahiyo bila Mil 20 hutoboi
Lakini kweli hiiAcha ubahili bwana harusi🤗🤗🤗🤗
All in all
Unaweza kufanya harusi ya kizungu Tu,unaandaa Kila kitu mwenyewe simple Tu then Unaalika watu wachache wanakuja mnasherehekea pamoja kwisha!!
Njoo nikuoe km upo single 😹Kama ni raha sana anza kuoa wewe.
Utawashonea nguo. Gharama ni ile ileNdugu wa kike wa wanandoa wakijipanga hiyo kazi wanaifanya bure tu.
Ulifanyaje hadi 2m ikatoshea na chenji kubaki 😁Mimi sijui kama nilimaliza milioni 2