Kuliko hii balaa tulio naoAkili kubwa hiyo!
Product ya Makerere hiyo pamoja na akina Cleopa Msuya na Mangi Kileo!
Mwamba!!Kuliko hii balaa tulio nao
SawaMwamba!!
Hata Kikwete alikiriMkapa ndio Rais wangu bora wa muda wote wa Tanzania
Na Mzee mkapa alikuwa mwanahabari.Wanasema Mzee Mkapa hakupenda kabisa kuongea na wanahabari wa nchi yake ila huko kwa wakuu alijitahidi kuongea nao.
Tatizo hasa ilikuwa ni nini?
Waandishi wengi nchini ni Division 4 au Zero. Uelewa wao mdogo. Hata mimi sipendi kuhojiwa nao. Hawana akili. Hawana maswali ya akiliWanasema Mzee Mkapa hakupenda kabisa kuongea na wanahabari wa nchi yake ila huko kwa wakuu alijitahidi kuongea nao.
Tatizo hasa ilikuwa ni nini?
Tatizo sio hotuba ,ishu ni kuondoa maskini unfortunately huyu alikuwa anafukia watu kwenye migodi,kuwafukuza na kuwapa wazungu..hotuba ya Rais Benjamin Mkapa Harvard University Sept 15, 1999.
..pamoja na kuhutubia Rais Mkapa alijibu maswali toka kwa wanajumuiya ya Harvard.