- Thread starter
- #61
Tupo pamoja mkuu..
Ila Mzee Mkapa alikuwa mwandishi wa habari pia....Sasa kutopenda kuongea na waandishi wenzake inashangaza sana.
..waandishi wengi hapa Bongo wana utoto-utoto mwingi.
..wengi wao hawajiandai kabla ya kufanya mahojiano na wahusika toka kada mbalimbali.
..mara nyingi nikisikiliza interviews wanazofanya waandishi wetu naishia kusikitika au kukereka. There are a lot of missed opportunities because our reporters can not ask follow up questions on anything.
..Naamini hali hiyo ndiyo iliyomfanya Mzee Mkapa akose hamu ya kuongea na waandishi wa habari wa hapa nchini.
Cc Pascal Mayalla