Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Tupo pamoja mkuu..Mkuu uko na sisi au umetuacha mahala?
Ila Mzee Mkapa alikuwa mwandishi wa habari pia....Sasa kutopenda kuongea na waandishi wenzake inashangaza sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo pamoja mkuu..Mkuu uko na sisi au umetuacha mahala?
Mbona hujanijibu boss...?Tayari, hali ilikuwa sii hali, he was already in comma, sisi akina kajambanani hatukuruhusiwa, waliruhusiwa VIP only!.
p
Akikujibu nitag tafadhali....[emoji3578]Mbona hujanijibu boss...?
Ningejuaje umeniuliza mimi?. Ukimuuliza mtu kitu, una m tag.Mbona hujanijibu boss...?
Hata aliyeulizwa hakumtag, itakuwa mtu baki?. Utasubiri sana.Akikujibu nitag tafadhali....[emoji3578]
Sorry hii post ndio nimeiona sasa. Ben nilifanya mahojiano nae ile 1995. Baada ya hapo ni zile short impromptu zangu. No formal Interview.Ulishawahi kufanya mahojiano yoyote na Mzee Mkapa? Kwanini hakupenda kuhojiwa na waandishi wa ndani ya taifa lake ilihali hata yeye alikuwa mwanahabari.
Alikuwa Ana zarau mbaya elimu ndogo SanWanasema Mzee Mkapa hakupenda kabisa kuongea na wanahabari wa nchi yake ila huko kwa wakuu alijitahidi kuongea nao.
Tatizo hasa ilikuwa ni nini?
Angedharau elimu ndogo angeanzisha MEMKWA?? Watu wengine mna akili ndogo kama hoja yako.Alikuwa Ana zarau mbaya elimu ndogo San
ila pale sikuona waandishi hata waliouliza maswali hawakubainisha kabisa kuwa ni waandishi ukiacha Paskal Mayala yaliyesema kuwa alikuwepo kwenye hiyo ziara- Nimemuona na JK pia wakati huo nadhani alikuwa waziri wetu wa mambo ya njeTupo pamoja mkuu..
Ila Mzee Mkapa alikuwa mwandishi wa habari pia....Sasa kutopenda kuongea na waandishi wenzake inashangaza sana.
Paskal hapa umeji boast - ila ulikuwepo ni kisifa stahiki.Duh! Mkuu joka kuu,
Umenikumbusha mbali!. Nilikuwemo kwenye msafara wa ziara hii. Tulianzia Sweden, tukaja US na kumalizia UK pale St. Thomas Hospital. Baada ya kurejea home, haukupita muda mrefu, ndio Mwalimu Nyerere akaitwa!, ni kama tulipita London ili tuu kumuaga!.
P
It's true, JK ndio alikuwa MFA wa miaka yote 10 ya Mkapa.ila pale sikuona waandishi hata waliouliza maswali hawakubainisha kabisa kuwa ni waandishi ukiacha Paskal Mayala yaliyesema kuwa alikuwepo kwenye hiyo ziara- Nimemuona na JK pia wakati huo nadhabi alikuwa waziri wetu wa mambo ya nje
Sijajifagilia, ningeamua kujifagilia ningetambia kuwa Mtanzania wa kwanza ku host TV Talk Show Bongo!. Mimi ndie mwandishi Mtanzania wa kwanza kuripoti UNGA from NY!.Paskal hapa umeji boast - ila ulikuwepo ni kisifa stahiki.
Unanikumbusha tume ya jaji kisangaMkapa alikuwa ana show za kibabe
Mjivuni,hacheki na kima
Ova
Duh...!. Mkuu Komeo Lachuma, hapa hujatutendea haki, ume generalise wote japo ni wengi ila sio wote.Waandishi wengi nchini ni Division 4 au Zero. Uelewa wao mdogo. Hata mimi sipendi kuhojiwa nao. Hawana akili. Hawana maswali ya akili
Kipindi cha Nyerere - Mkapa - Magufuli, hii Nchi ilikuwa ikiheshimiwa sana. Hawa ndio walikuwa Marais wangu Bora kabisa kwa kipindi chote. Hawakuwa na uswahili swahili , ilikuwa ni kazi na matokeo tu.