Harvard University: Hotuba ya Hayati Rais Benjamin Mkapa

Harvard University: Hotuba ya Hayati Rais Benjamin Mkapa

Duh! Mkuu joka kuu,
Umenikumbusha mbali!. Nilikuwemo kwenye msafara wa ziara hii. Tulianzia Sweden, tukaja US na kumalizia UK pale St. Thomas Hospital. Baada ya kurejea home, haukupita muda mrefu, ndio Mwalimu Nyerere akaitwa!, ni kama tulipita London ili tuu kumuaga!.
Kwenye Tribute yangu kwa Mkapa, hii ziara pia niliizungumzia

P
 
Wanasema Mzee Mkapa hakupenda kabisa kuongea na wanahabari wa nchi yake ila huko kwa wakuu alijitahidi kuongea nao.

Tatizo hasa ilikuwa ni nini?
Alisemaga wa hapa wengi wao ni makanjanja...wanauliza umbea badala ya Mambo ya msingi ya kitaifa..Kwa mfano mwandishi anaweza anza swali lake na "Tunasikia.,............" Sasa huyo mwandishi unaongea naye wa nn. Mkuu hukumbuki Kuna mwandishi Fulani anajiiita nguli alipewa nafasi ya kumuuliza Magu swali ikulu akaishia kuomba matangazo na Wine mkuu wangu....hao ndo waandishi ambao mkapa alikuwa hataki kuongea nao...japo mm siyo pro Mkapa lkn
 
Duh...!. Mkuu joka kuu,
umenikumbusha mbali!. Nilikuwemo kwenye msafara wa ziada hii. Tulianzia Sweden, tukaja US na kumalizia UK pale St. Thomas Hospital. Baada ya kurejea home, haukupita muda mrefu, ndio Mwalimu Nyerere akaitwa!.
P
Ulishawahi kufanya mahojiano yoyote na Mzee Mkapa? Kwanini hakupenda kuhojiwa na waandishi wa ndani ya taifa lake ilihali hata yeye alikuwa mwanahabari.
 
Kuna kipindi nchi ilitekwa na linungayembe moja hivi haliwezi kutamka hata sentensi moja kwa kiingereza..

Likawa linawapiga risasi wanaojua Kiingereza
Unakinywa kichafu Sana
Hivi kwenye ukoo wenu Kuna hata mjumbe wa nyumba kumi
Hivi ukipewa hii nchi uiongoze utafanikiwa hata kujenga barabara ya km 2
 
Wanasema Mzee Mkapa hakupenda kabisa kuongea na wanahabari wa nchi yake ila huko kwa wakuu alijitahidi kuongea nao.

Tatizo hasa ilikuwa ni nini?
wanahabari wa bongo walikuwa mamluki wa wanamtandao walitumika nyakati za mageuzi, hasa baada ya Kifo cha Nyerere, timu msoga
 
Puppet, fisadi. Mtu aliyekuwa anaongea vizuri, lakini anaongea maneno matupu.
 
Duh! Mkuu joka kuu,
Umenikumbusha mbali!. Nilikuwemo kwenye msafara wa ziara hii. Tulianzia Sweden, tukaja US na kumalizia UK pale St. Thomas Hospital. Baada ya kurejea home, haukupita muda mrefu, ndio Mwalimu Nyerere akaitwa!, ni kama tulipita London ili tuu kumuaga!.

P
Kuna kitu hapa behind the scene. Lol
 
Wanasema Mzee Mkapa hakupenda kabisa kuongea na wanahabari wa nchi yake ila huko kwa wakuu alijitahidi kuongea nao.

Tatizo hasa ilikuwa ni nini?
Mkuu uko na sisi au umetuacha mahala?
 
Hapa hakuna Waandishi kuna ma Reporters

Jana nilikuwa naangalia live kipindi cha Management ya Tanesco na Jukwaa la Wahariri kupitia UTV saa 4 usiku…ni aibu pamoja na Madudu ya Tanesco walishindwa kabisa kuwabananisha
Wanasema Mzee Mkapa hakupenda kabisa kuongea na wanahabari wa nchi yake ila huko kwa wakuu alijitahidi kuongea nao.

Tatizo hasa ilikuwa ni nini?
 
Back
Top Bottom