Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Wekeni ushahidi nani alihusika pamoja na kifo cha Chacha Wangwe. Watu wanogopa nini kuweka ushahidi? Visingizio haviwezi kulisaidia taifa...hakuna justification yoyote ile ya kupigana marisasi kama ilivyotokea kwa Tundu Lissu.
..hii nchi imeshakuwa na waasi mwaka 1964; mauaji ya Raisi wa Znz mwaka 1972; majaribio ya mapinduzi walau matatu huku Tanganyika. Katika matukio yote hayo watuhumiwa walipelekwa mahakamani. Sasa hivi tuna watuhumiwa wa ugaidi wako mahakamani. Kama Lissu alikuwa na makosa basi alipaswa kupelekwa mahakamani, na kama alistahili kifo ilipaswa kuamuliwa na mahakama.