Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Alisemaga wa hapa wengi wao ni makanjanja...wanauliza umbea badala ya Mambo ya msingi ya kitaifa..Kwa mfano mwandishi anaweza anza swali lake na "Tunasikia.,............" Sasa huyo mwandishi unaongea naye wa nn. Mkuu hukumbuki Kuna mwandishi Fulani anajiiita nguli alipewa nafasi ya kumuuliza Magu swali ikulu akaishia kuomba matangazo na Wine mkuu wangu....hao ndo waandishi ambao mkapa alikuwa hataki kuongea nao...japo mm siyo pro Mkapa lknWanasema Mzee Mkapa hakupenda kabisa kuongea na wanahabari wa nchi yake ila huko kwa wakuu alijitahidi kuongea nao.
Tatizo hasa ilikuwa ni nini?
Ni baadhi yao tu....sio woteWaandishi wengi nchini ni Division 4 au Zero. Uelewa wao mdogo. Hata mimi sipendi kuhojiwa nao. Hawana akili. Hawana maswali ya akili
Ulishawahi kufanya mahojiano yoyote na Mzee Mkapa? Kwanini hakupenda kuhojiwa na waandishi wa ndani ya taifa lake ilihali hata yeye alikuwa mwanahabari.Duh...!. Mkuu joka kuu,
umenikumbusha mbali!. Nilikuwemo kwenye msafara wa ziada hii. Tulianzia Sweden, tukaja US na kumalizia UK pale St. Thomas Hospital. Baada ya kurejea home, haukupita muda mrefu, ndio Mwalimu Nyerere akaitwa!.
P
Ulipata nafasi kusalimia mgonjwa?Tulianzia Sweden, tukaja US na kumalizia UK pale St. Thomas Hospital. Baada ya kurejea home, haukupita muda mrefu, ndio Mwalimu Nyerere akaitwa!.
P
Haukupita muda Nyerere akaitwa.... .[emoji3578]Duh! Mkuu joka kuu,
Umenikumbusha mbali!. Nilikuwemo kwenye msafara wa ziada hii. Tulianzia Sweden, tukaja US na kumalizia UK pale St. Thomas Hospital. Baada ya kurejea home, haukupita muda mrefu, ndio Mwalimu Nyerere akaitwa!
P
Kuna kipindi nchi ilitekwa na linungayembe moja hivi haliwezi kutamka hata sentensi moja kwa kiingereza..Hotuba ya Rais Benjamin Mkapa Harvard University Sept 15, 1999.
Pamoja na kuhutubia Rais Mkapa alijibu maswali toka kwa wanajumuiya ya Harvard.
Unakinywa kichafu SanaKuna kipindi nchi ilitekwa na linungayembe moja hivi haliwezi kutamka hata sentensi moja kwa kiingereza..
Likawa linawapiga risasi wanaojua Kiingereza
wanahabari wa bongo walikuwa mamluki wa wanamtandao walitumika nyakati za mageuzi, hasa baada ya Kifo cha Nyerere, timu msogaWanasema Mzee Mkapa hakupenda kabisa kuongea na wanahabari wa nchi yake ila huko kwa wakuu alijitahidi kuongea nao.
Tatizo hasa ilikuwa ni nini?
Tayari, hali ilikuwa sii hali, he was already in comma, sisi akina kajambanani hatukuruhusiwa, waliruhusiwa VIP only!.Ulipata nafasi kusalimia mgonjwa?
Kuna kitu hapa behind the scene. LolDuh! Mkuu joka kuu,
Umenikumbusha mbali!. Nilikuwemo kwenye msafara wa ziara hii. Tulianzia Sweden, tukaja US na kumalizia UK pale St. Thomas Hospital. Baada ya kurejea home, haukupita muda mrefu, ndio Mwalimu Nyerere akaitwa!, ni kama tulipita London ili tuu kumuaga!.
P
Wanasema Mzee Mkapa hakupenda kabisa kuongea na wanahabari wa nchi yake ila huko kwa wakuu alijitahidi kuongea nao.
Tatizo hasa ilikuwa ni nini?
Mkuu uko na sisi au umetuacha mahala?Wanasema Mzee Mkapa hakupenda kabisa kuongea na wanahabari wa nchi yake ila huko kwa wakuu alijitahidi kuongea nao.
Tatizo hasa ilikuwa ni nini?
Wanasema Mzee Mkapa hakupenda kabisa kuongea na wanahabari wa nchi yake ila huko kwa wakuu alijitahidi kuongea nao.
Tatizo hasa ilikuwa ni nini?