Hasara za kuwa baba wa kambo

Yaani unaingia mahusiano yako kwa bahati mbaya?πŸ€” Hii ni poor planning. Ungekuwa mnyama basi wewe tunakuweka kundi la wanyama wala mizoga kama fisi na buzzard.
 
"Kuongezeka kwa gharama za maisha kwa kubeba jukumu lisilokuhusu.
Mwanamke tu anakuja kwenye maisha yako kama liability, sasa embu fikiria anakuja na mtoto/watoto wake. Hii ni sawa na kulipa mkopo ambao hakuuchukua wewe."
Dua tu mbona.
 
Miaka ya nyuma ipi mkuu, unataka turudi nyuma?

Haya twende taratibu, miaka ya nyuma unakumbuka elimu haikuwa kipaumbele? Unakumbuka mabinti walikuwa wanaolewa na miaka mingapi?

Miaka ya nyuma unayoisemea binti alikuwa akishavunja ungo, anapelekwa unyagoni kisha anatafutiwa mume anaolewa?

Vijana wa kiume nao ivoivo, walikuwa wakishabalehe, wanapelekwa jandoni, wakirudi wanakuwa tayari kuoa.

Siku hizi elimu inawafanya mabinti na vijana wafikishe miaka 23, 24, 25, 26 wakiwa hawana mbele wala nyuma. Meanwhile wameshabalehe na kuvunja ungo, unatagemea wataacha kufanya kisa hawajaoa au kuolewa?
 
Sasa mkuu nimepata demu Sasa hivi yuko serias Ila ubaya tupo dini tofauti na msimamo wake hawezi kubadili πŸ˜…

Ila kwasababu demu haombi hela hovyo hovyo hio ndo sababu Niko nae lakini dini inatuseparate,kuna mda nafsi inaniuma kwamba nampotezea time binti wa watu na she is 24
 
Hakuna wife material aliyeishia kuwa single mother. Mjane ni mjane, siyo single mother.
 
mbona unasahau kuzungumzia mapenzi anayopewa baba wa kambo na huyo singo maza? πŸ˜‚πŸ˜
 
Ni wapuuzi hawa madogo, wamekua waoga mno. Wanawaogopa mno wanawake, singo maza hawawataki, washika dini hawawataki ati wanapretend, wahudumu wa bar, migahawa, hoteli hawawataki ati ni malaya, wanachuo hawawataki pia ati hawajatulia, ndoa hawataki ati mwanamke atamuua sijui atachapiwa.

Hizi movements zao ni za kuzidi kumdidimiza mwanaume na azidi kujiona fala, bwege mtozeni , si lolote wala chochote mbele ya mwanamke, mwanaume azidi kuona mwanamke ni kiumbe wa kuogopwa.

Vijana tusimamie uanaume wetu aisee, yaani ushindwe kua kiongozi wa familia ati kisa umeoa singo maza?? Ushindwe kua baba mtaani na kwa wanao ati kisa single maza??

Wazee wetu wangekua na mentality hizi hakyanani vijana kama mleta uzi wangelikua wanavaa skirt na shanga viunoni.
 
Kwetu tuko wa3 tu, na hakuna mwenye mtoto na kila mmoja ana jaliwa na kutunzwa so nafanya nitakacho.
 
We Jamaa una ongea upuuzi mtupu, Maamuzi yangu Yana kuathiri vipi? Mpaka useme sio mazuri?

Una jua lipi ni bora au sio Bora kwangu?, kingine mwanamke sahihi hapimwi kwa macho.
 
Katika kizazi ambacho mwanamke ameshuka thamani na kudharaulika ni kizazi hiki, ndio maana tumaona ongezeko la single mother. Tunachokiongea hapa indirectly tunawakumbusha pia na consequencies watakitana nazo wasipojitunza. Leo hii tunaona wimbi la wanawake wasiokua na maadili kwa sababu kuna population kubwa ya wanaume mafala kama wewe ambao mmekubali kuzishusha thamani zenu mbele ya mwanamke kwa kufikiri kukubaliana na direspects, manipulations na reckless past ya mwanamke ndio uanaume. Binti anaona hakuna umuhimu wa kujitunza maana akimalizana na maisha ya umalaya kuna simp kama wewe ambao mtakua tayari kumtolea mahari na kumuoa

Hizi movements zao ni za kuzidi kumdidimiza mwanaume na azidi kujiona fala, bwege mtozeni , si lolote wala chochote mbele ya mwanamke, mwanaume azidi kuona mwanamke ni kiumbe wa kuogopwa.
Tunachokifanya ni kufungua code mwanaume aone uhalisia na atoe akili kwenye matrix ya manipulations nyingi ambazo nyie simp hamzioni mfano kitanda hakizai haramu ni msemo wa kipumbavu.. yaani mwanamke afanye umalaya wake halafu nilee bao la mwanaume mwingine eti kitanda akizai haramu.. vijana tumesema hapana
Vijana tusimamie uanaume wetu aisee, yaani ushindwe kua kiongozi wa familia ati kisa umeoa singo maza?? Ushindwe kua baba mtaani na kwa wanao ati kisa single maza??
Uanaume pia unajumuisha kuweka standards na kuzisimamia kwa ajiri ya mustakabali mwema wa kizazi kijacho. Usingle mother ni matokeo ya umalaya na maamuzi mabovu ya mwanamke. Mwanaume kama kiongozi unatakiwa kumwajibisha uyo mwanamke. Kumpa comfortability mwanamke kama uyo itapelekea na kizazi cha mabinti nacho kuona umalaya na kuzaa kabla ya ndoa ni jambo la kawaida
Wazee wetu wangekua na mentality hizi hakyanani vijana kama mleta uzi wangelikua wanavaa skirt na shanga viunoni.
Wazee wetu hawakua malaika kama binadamu nao walikua na mapungufu yao. Hata hivyo uko kwa wazee ndio standards za mwanamke zilikua rigid sana kiasi kwamba kwa mienendo ya hawa wanawake wa kisasa unaowatetea wangepata tabu sana
 
We Jamaa una ongea upuuzi mtupu, Maamuzi yangu Yana kuathiri vipi? Mpaka useme sio mazuri?

Una jua lipi ni bora au sio Bora kwangu?, kingine mwanamke sahihi hapimwi kwa macho.
Ukifanya maamuzi mabaya unachafua taswira nzima ya jinsia ME, mfano alichokifanya aziz kii kuoa single mother wa watoto ambao kila mmoja ana baba ake na mbaya zaidi ana masululu mrefu wa wanaume aliotoka nao na jamii inajua.

Katika hali kama iyo hata mwanaume ukikemea umalaya na kuzaa hovyo utakutana na ugumu kwasababu hawa malaya na single mother watatumia case study ya azizi kii na mobetto kujitetea.

Wanawake wanajua wanachokifanya na ukiingia kwenye manipulations zao wanakuweka kwenye kundi la masimp na hii inaenda kichafua taswira nzima ya jinsia ME
 
Ukifanya maamuzi mabaya unachafua taswira nzima ya jinsia ME, mfano alichokifanya aziz kii kuoa single mother wa watoto ambao kila mmoja ana baba ake na mbaya zaidi ana masululu mrefu wa wanaume aliotoka nao na jamii inajua.
mkuu ana chafua vipi hadhi ya mwanaume akati kila mtu ana mwili na heshima yake?

azizi k ni mtu mzima aliye fanya maamuzi kwa akili na utashi wake, hizi mambo za kakosea sisi hazi tuhusu as long as ana uhuru wa kuchagua na kuamua yupi ni bora kwake.
 
Injiri iendelee kusambazwa kuokoa kizazi cha masimp, hawa watu hawaishiwi visingizio kutetea upuuzi wao. Mtu anakuja na kisingizio cha kupenda watoto, kama ni hivyo kwanini usiende ku-adopt mtoto kwenye kituo cha kulea watoto yatima.

Inasikitisha sana kuona tumefika kwenye kizazi ambacho ukiweka kigezo cha bikira unashambuliwa na kuonekana mshamba lakini ukioa single mother unamwagiwa sifa kwamba huo ndio uanaume. Hadhi na heshima ya mwanaume halisi inaenda wapi?
 
mkuu ana chafua vipi hadhi ya mwanaume akati kila mtu ana mwili na heshima yake?

azizi k ni mtu mzima aliye fanya maamuzi kwa akili na utashi wake, hizi mambo za kakosea sisi hazi tuhusu as long as ana uhuru wa kuchagua na kuamua yupi ni bora kwake.
Tuchukue case studies za Emanuel Eboue na Hakimi. Ebue aliandika mali zake jina la mkewe baada ya kutalakiana huyu mwanamke alichukua kila kitu na eboue kukosa hata makazi ya kuishi.

Hakimi alilinda mali zake kwa kuandika jina la bi mkubwa. Mke akadai talaka kwa mategemeo ya kupata mgao wa mali lakini baadae ikaja kujulikana mali za Hakimi zimesajiriwa kwa jina la mama ake hivyo yule mtalaka wake hakupata chochote.

Jaribu kuwa neutral katika izo case studies mbili haouni kwamba kuna mmoja hapo aliiwekea heshima jinsia ME na mwingine alituabisha?
 
Ko una niambia watu wawili ndio reference ya Dunia nzima?

Kuna watu wangapi familia zao zina amani na upendo?, je hao hatuwaoni!
 
Game IMEANZA na handicap, daah Ma SIMP kazi wanayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…