Hasara za kuwa baba wa kambo

Sasa hapo kwenye kesi ya ebou kuna taswira ipi?.
Kesi ya eboue inatengeneza taswira kwamba wanaume ni mafala
Etoo, drogba mbona wame oa na mambo safi?, vipi taswira huioni?
hapa siongelei suala la kuoa naongelea suala la mwanaume kusimama kwenye standard za kiume na kuji-adjust kitaalamu katika ulimwengu wa leo ambao mifumo yote imesukwa kumdhibiti na kumnyong'onyeza mwanaume.

Ukishindwa kusimamia misingi ya kiume unachafua jinsia ME yote
 
Ukilisoma andiko la Natafuta Ajira linaapply sana kwa single-mothers hawa waliotokana na kujiona "super-woman"
 
Bado natafsiri kama uoga wa wanaume mlio wengi wala sio kuwasanua simps au niaje.

Na pia mimi sitetei wanawake, na hapo ndipo ninyi wanaume wengi msiojiamini mnajifichia, mtu akiwapinga moja kwa moja mnakimbilia ati "unatetea wanawake" ila hapana mi naandika uhalisia.

Yaani wanaume wengi mmekua kama wanawake, hamjui mnataka nini. Wewe ni kiongozi wa familia, kama waislam wanaoa mpaka wake 4 na wote anawacontrol yeye bila kujali kaoa single maza au niaje. Ajabu ninyi vijana wa sasa mnawaandama singo maza bila hata sababu za msingi sometimes.

Yes wanazingua sana tu ila sio sababu ya wao kutoolewa, kutolea watoto wao ati watakuona "simp" bro where did you get this?? Baba ni yule anaprovide bro, always iko hivyo.

Cha kuwashauri wanaume ni kua watumie akili na sio hisia. Lakini pia wasikalili maisha mambo hubadilika.

Unapomsanua mwamba atumie akili hata maamuzi yake atatumia akili, atamlipia ada mtoto wa Me mwenzie sio kwa kumshawishi mama yake akupende ila ni kutoa msaada tu, asaini prenup kama ana mali nyingi, adiversify uchumi wake nk.
 
Kuna tofauti kubwa sana ya uoga na busara. Kuthibitisha uanaume wako sio kufanya gamble kwenye red flag, ila ni kuchukua maamuzi sahihi kuanzia mwanzo ili kuepuka matatizo uko mbeleni. Kwanini ufanye gamble kwa mwanamke mwenye question mark wakati wenye rekodi safi wapo? anyway, endelea wewe kulipia ada hao watoto wa single mother
 
Chuo sio kigezo cha kuchelewa ndoa. Binti anaweza olewa akiwa amemaliza formsix na anajiandaa kwenda chuo.
 
nmegundua hizi nyuzi zimeongezeka sana baada strekafosi wetu kutwaa jiko,apa kuna agenda ya watu flani kututoa mchezoni
 
daah kumbe huu uzi wa moto sana

naona masingo maza wanalazimisha waolewe ivoivo watu waache kujaji maisha yao ya nyuma kama waliyaishije wakati madogo kataa ndoa wanang'aka hawataki kuchomekewa madogo wa mababa wengine 🤣🤣hapa lazma kieleweke au kavipi iwe ngoma droo.
 
kama umefika umri wa miaka 35 na kuendelea na bado hujaoa, lazima utaoa mwanamke mwenye mtoto tayali.
maana ni ngumu kupata mwanamke mwenye miaka 25 hadi 30 asiwe na mtoto.
na kwa umri huo ukioa mwanamke chini ya miaka 25 ujue umeolea vijana,na ujiandae kufa kwa presha. hivyo mleta mada unaonekana bado mtoto,ukikua uzi huu utaufuta.
 
wanasema Step father ni MENTAL HEALTH.
Responsibilities without Authority.
labda labda huyo mtoto usikae nae hapo........hapo ni labda au Uzae nae huyo mwanamke watoto. all in all Simshauri mtu
.
 
Baba wa kambo amuishiwagi visingizio vya kutetea ujinga wenu.
 
Basi basi basi punguza spana
 
mkuu ana chafua vipi hadhi ya mwanaume akati kila mtu ana mwili na heshima yake?

azizi k ni mtu mzima aliye fanya maamuzi kwa akili na utashi wake, hizi mambo za kakosea sisi hazi tuhusu as long as ana uhuru wa kuchagua na kuamua yupi ni bora kwake.
Aiseeee wewe jamaaa ni kiazi sana. Kama kila mtu na mwili wake kwann ushoga unapigwa? Kwani shoga si anatumia mwili wake?
Kwanini movie za ngono zinapigwa? Anayeigiza si anatumia kiungo chake na anayoangalia si anatumia macho yake?
Kwann dawa za kulevya zinzpigwa? Anayetumia si anaharibu mwili na akili yake?
Kwanini video za muziki huwa zinzfungiwa kuwa zinadharirisha wanawake?
 
Unapomsanua mwamba atumie akili hata maamuzi yake atatumia akili, atamlipia ada mtoto wa Me mwenzie sio kwa kumshawishi mama yake akupende ila ni kutoa msaada tu,
Yaani unamlipia ada mtoto wa mwanaume mwezio ambaye huna nasaba nae kwa kigezo kuwa unatoa msaada, wakati ndugu zako kibao wanateseka hawana uhakika wa kula, makazi wala mavazi achilia mbali kusomesha
Wengine mmetelekeza mpaka wazazi wenu lakini mnalea mabao ya wanaume wenzenu.

Muulize mama yako mzazi kama anafurahia wewe kuoa single mother ndio utaelewa kuwa tunazungumzia uhalisia na nyie simp mnatumia hisia za mapenzi kuliko akili
 
Haya mambo si ya kuyachukulia serious sana utapata tatizo la saikolojia.

Uhalisia ni kuwa, Aziz K pamoja na wanaume wengi humu kumuona boya sijui simp, ila wake au wapenzi wao wakitakwa na Aziz wanatanua miguu na kuirudishia ikichomoka.
Huna Akili! Sasa Hilo Ni Tatizo La Mwanaume Au Mwanamke
Kwani Wanawake Wote Wanachepuka Na Aziz Ki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…