Aisee kumbe udalali kaanza zamani? Riba ilikuwa asilimia ngapi?Tukiweka siasa pembeni. Mzee Rungwe yupo fresh sana. Vijana tulikuwa tukihitaji milioni 5 au 10 ya chap chap unaenda ofisi yake anaithaminisha ndinga yako unaipaki uani mnakubaliana anakupa mpunga ukifanya mambo yako unarudisha pesa kutokana na makubaliano unachukua ndinga yako.
Nilisikia chombo kimoja,mzee wa ubwabwa ye yuko tayari kwa hilo,kama taratibu zitafuatwa,hapo kwenye taratibu sasa!!Mrema anajiandaa kumpindua Hashim Rungwe ili yeye ndiye awe Mwenyekiti wa CHAUMA
Tatizo chadema mnawaza deal tuu. Mzee Rungwe Hana mawazo Kama ya saccos yenu..Mfanya biashara...deal imekuja
Kapiga hesabu akiangalia
Umri wake ....Acha avute
Ova
Show room za magari used ameanza kumiliki kitambo sana. Riba yake haikuwa kubwa inategemea na muda utakaorejesha . Ni Mzee muungwana sana na kama ukikwama kulipa deni anakufanyia wepesi kukusaidia kutafuta mteja kwa thamani halisi ya gari yako halafu yeye anachukua cha kwake na cha juu alichoweka kilichobaki chako.Aisee kumbe udalali kaanza zamani? Riba ilikuwa asilimia ngapi?
Nilikuwa nae mtaa mmoja Bahari Motors pale, gari zake zikitoka bandarini zinajaa mtaa mzima kabla ya kupangwa ndani..Mzee mmoja mstaarabu sana.Show room za magari used ameanza kumiliki kitambo sana. Riba yake haikuwa kubwa inategemea na muda utakaorejesha . Ni Mzee muungwana sana na kama ukikwama kulipa deni anakufanyia wepesi kukusaidia kutafuta mteja kwa thamani halisi ya gari yako halafu yeye anachukua cha kwake na cha juu alichoweka kilichobaki chako.
Uzuri wa huyu mzee wa ubwabwa hafichifichi mamboMzee wa Ubwabwa mzee Rungwe kasema mambo wazi kwenye hii video. Friji limeanza kuyeyusha.
Anasema pia aliyekuwa mshenga wa uhamisho ni John Mrema.
Kitu nampemdea huyu mzee huwa hafichi.
View attachment 3346423
View attachment 3346433
Hili friji halijui kupoza kabisa😂😂😂Mzee wa Ubwabwa mzee Rungwe kasema mambo wazi kwenye hii video. Friji limeanza kuyeyusha.
Anasema pia aliyekuwa mshenga wa uhamisho ni John Mrema.
Kitu nampemdea huyu mzee huwa hafichi.
View attachment 3346423
View attachment 3346433
Njia aliyopitia Lyatonga mrema inatishaMzee wa Ubwabwa mzee Rungwe kasema mambo wazi kwenye hii video. Friji limeanza kuyeyusha.
Anasema pia aliyekuwa mshenga wa uhamisho ni John Mrema.
Kitu nampemdea huyu mzee huwa hafichi.
View attachment 3346423
View attachment 3346433
Kwa umri wake hana cha kupoteza anafunguka tuu😂😂😂Hashim Rungwe hana siri hata ukimwambia mwanangu zuia laki 3 hii hapa usiseme kitu, yeye atakuja tu kusema fulani alinipa laki 3 akasema nisiseme kitu
kabisa, kila ijumaa tunafunga mtaa ni biriani kwa kwenda mbele, na akiingia madarakani kutakuwa na mchele wa ruzukuSawa na Ubwabwa uongezwe mdalasini ili watu wajilambe huko
Kuwa makini na unaowajibu sisi wengine hatuchelewi kukupaka mafuta ya naziHuyu ndo mpinzani wa kweli, siyo Wewe na Mbowe wenu mmepewa rushwa mmekauka kimya, kisa mnajua kutunza Siri. Acha sisi tuende na wakili msomi mzee Hashimu Spunda. Ukimhonga umeyakanyaga ndo maana CCM wakaishia kuwahonga chadema mnaojua kutunza Siri.
Chauma ndy saccos sasaTatizo chadema mnawaza deal tuu. Mzee Rungwe Hana mawazo Kama ya saccos yenu..