McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
thedon umesahau kummgusia mwafrika mwengine muhimu HAKEEM OLAJUWON-1ST DRAFT(ahead of michael jordan 3rd) -1984,Hall of Famer,2 time nba champ....master of fade away jump shots and post play moves..
Ni kweli amepata pesa nzuri lakini kupata pesa is one part of the problem how you manage it is a different ball game. Statistics kwenye hiyo article ambayo nimeattach zinasema 60% ya former NBA player declare bankruptcy within five years of being out of the league. I hope jamaa alijipanga vizuri maana si unajua wabongo tunavyopenda kuona mtu kafulia. It's a really good article isome ukipata muda.
78% of NFL Players Go Bankrupt Within 5 Years & NBA Players In... - munKNEE dot.com
Afu hizo hizo scrub minutes alizokuwa anapewa angezitumia vizuri angekuwa bado ana timu. Wachezaji wangapi kibao hawana stats za kutisha lakini wana timu kwa sababu ya hustle wanaoiyonyesha when they get on the court? Anyone remember Joel Anthony? (Joel Anthony - Wikipedia, the free encyclopedia) Jamaa at one point alikuwa starting center for Miami Heat, Joel Anthony STARTING CENTER!!? He also is a two-time NBA Champion. Sasa niambie Joel Anthony na Thabeet wapi kwa wapi in terms of natural talent and physical gifts? Lakini effort, hustle and hardwork on the court takes you a long way. And the irony in all of this is that Joel Anthony now plays for the Pistons, so he probably took the roster spot that Thabeet could have had.
Ni kweli amepata pesa nzuri lakini kupata pesa is one part of the problem how you manage it is a different ball game. Statistics kwenye hiyo article ambayo nimeattach zinasema 60% ya former NBA player declare bankruptcy within five years of being out of the league. I hope jamaa alijipanga vizuri maana si unajua wabongo tunavyopenda kuona mtu kafulia. It's a really good article isome ukipata muda.
78% of NFL Players Go Bankrupt Within 5 Years & NBA Players In... - munKNEE dot.com.
How can a Tanzanian be an "All-American"?
Right, na kwa wengine ambao hatutumii hicho "Kiingereza cha Kimarekani" inakuwa ni kichekesho kwa Mtanzania kujiita "All-American."All-American ni adjective yenye maana kadhaa kwenye Kiingereza cha Kimarekani
Right, na kwa wengine ambao hatutumii hicho "Kiingereza cha Kimarekani" inakuwa ni kichekesho kwa Mtanzania kujiita "All-American."
Umetoka Tanzania umewashinda Wamarekani na washindani wengine kutoka dunia nzima, uko proudful with your foreign heritage, utaitwaje "All-American?" Ni kihoja. Ni muendelezo wa cultural hegemony ya nchi ambayo inatumia wanamichezo kutoka nchi nyingine lakini inawapa majina yenye sifa za kimarekani.
Halafu sio kila definition iliyoko kwenye kamusi inakubalika, kuna vitu vingine vikipingwa vinaenda vinabadilishwa. Kuna wakati "nigger" ilikuwepo kwenye dictionary kwa maana iliyokuwa inakubalika wakati ule wa plantation mentality. Na sio kila jina unalopewa unalikubali. Kuna wakati Muhammed Ali alikuwa anaitwa Cassius Clay.
Mama yake alisema watanzania wamemroga inawezekana kuna ukweli watu wamemuendea kwa babu hili asiwe anawaza mazoezi yeye awaze kuja bongo tu.
Kaumri nako tuwe tunakaangalia ninawasiwasi kama huyu dogo Hasheem hakuchakachua umri maana ukimwona amekomaa sana kuliko hata wachezaji wa umri mkubwa.
mi namkubali jamaa toka enzi za makongo tatizo nini thabeet dont let us down
pliiizzzz!!!!!
Si umeona enhee....Ila sasa ulichokosea ni kusema ama kumuomba jamaa asome hiyo article wakati unajuwa wabongo wengi hawapendi kusoma ila wanapenda kuambiwa tu hadithi na kuamini. Hakika, kama kweli Hasheem hajajipanga kiukweli atarudi huku Bongo na mfuko wa rambo, why? Ni kwa sababu jamaa hakupata mkataba mnono kwa timu alizochezea na kingine ambacho ni kikubwa zaidi ni kwamba jamaa amezaa na Mmarekani. Mimi si Mungu ila najuwa kuna dalili kubwa huyu demu wa Hasheem hawezi kuja ishi huku Bongo na Hasheem kwa sababu she's a groupie na she's there kuchuma tu, hivyo kuna uwezekano mkubwa wao kuachana na demu akapata custody ya mtoto wao. Kindumbwendumbwe kipo hapa sasa, kwani huyo mama na mwanawe watamkamua pesa Hasheem (child support) kila mwezi ama wiki mpaka atajuta kuzaliwa.
Salaries
[TABLE="class: sortable stats_table"]
[TR]
[TH="class: tooltip sort_default_asc, bgcolor: #DADCDE, align: center"]Season[/TH]
[TH="class: tooltip sort_default_asc, bgcolor: #DADCDE, align: center"]Team[/TH]
[TH="class: tooltip sort_default_asc, bgcolor: #DADCDE, align: center"]Lg[/TH]
[TH="class: tooltip, bgcolor: #DADCDE, align: center"]Salary[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]2009-10[/TD]
[TD="align: left"]Memphis Grizzlies[/TD]
[TD="align: left"]NBA[/TD]
[TD="align: right"]$4,458,840[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]2010-11[/TD]
[TD="align: left"]Houston Rockets[/TD]
[TD="align: left"]NBA[/TD]
[TD="align: right"]$4,793,280[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]2011-12[/TD]
[TD="align: left"]Houston Rockets[/TD]
[TD="align: left"]NBA[/TD]
[TD="align: right"]$5,127,720[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]2012-13[/TD]
[TD="align: left"]Oklahoma City Thunder[/TD]
[TD="align: left"]NBA[/TD]
[TD="align: right"]$1,200,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]2013-14[/TD]
[TD="align: left"]Oklahoma City Thunder[/TD]
[TD="align: left"]NBA[/TD]
[TD="align: right"]$1,200,000[/TD]
[/TR]
[TR="class: stat_total, bgcolor: #DADCDE"]
[TD="align: left"]Career[/TD]
[TD="align: left"](may be incomplete)[/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[TD="align: right"]$16,779,840[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Pistons waive former No. 2 overall pick Hasheem Thabeet.
Thabeet was waived along with Brian Cook, Lorenzo Brown and Josh Bostic. It's unclear if another team will take a chance on Thabeet, which would close the book on one of biggest draft busts of the last 10 years -
Hasheem Thabeet NBA & ABA Stats | Basketball-Reference.com
Hahahaaaaa na dimpoz nae tumsubirie eeehhh???ndio maana kuna wakati kalilalamika hakana bahati ya mapenzi...
poor him going down as one of the burst top ranked draftees in recent history...
cc: LebronWade, Ambitious