Hasheem Thabeet Aondolewa Pistons

Hasheem Thabeet Aondolewa Pistons

Duh ila sishangai sana sisi wa TZ tumezoea kuvurunda na wepesi wa kuridhika na mafanikio madogo.
Pole super Tall komaa huko huko maana ukikanyaga Bongo hata uwe na mi-dollari watakufilisi ufe kwa stress kama vipi beba hata box.
 
thedon umesahau kummgusia mwafrika mwengine muhimu HAKEEM OLAJUWON-1ST DRAFT(ahead of michael jordan 3rd) -1984,Hall of Famer,2 time nba champ....master of fade away jump shots and post play moves..

Of course brother tena nasikia wote wawili, Mutombo and Olajuwon ni wakazi wa Houston, so Jamaa yetu ange weza kuwafata hawa malegends wakati alivyokuwa na Rockets, wakamsaidia kimawazo na kimchezo. Nasikia kina Lebron, Dwight Howard, etc wote wameshawahi kuspend off-season training na Olajuwon to improve their post game. Nimerefrence Mutombo specifically kwasababu niliona Mutombo was someone Thabeet would've easily matched his success, maanake Olajuwon is in that elite category of players that only a handful of players reach.
 
Ni kweli amepata pesa nzuri lakini kupata pesa is one part of the problem how you manage it is a different ball game. Statistics kwenye hiyo article ambayo nimeattach zinasema 60% ya former NBA player declare bankruptcy within five years of being out of the league. I hope jamaa alijipanga vizuri maana si unajua wabongo tunavyopenda kuona mtu kafulia. It's a really good article isome ukipata muda.
78% of NFL Players Go Bankrupt Within 5 Years & NBA Players In... - munKNEE dot.com

Afu hizo hizo scrub minutes alizokuwa anapewa angezitumia vizuri angekuwa bado ana timu. Wachezaji wangapi kibao hawana stats za kutisha lakini wana timu kwa sababu ya hustle wanaoiyonyesha when they get on the court? Anyone remember Joel Anthony? (Joel Anthony - Wikipedia, the free encyclopedia) Jamaa at one point alikuwa starting center for Miami Heat, Joel Anthony STARTING CENTER!!? He also is a two-time NBA Champion. Sasa niambie Joel Anthony na Thabeet wapi kwa wapi in terms of natural talent and physical gifts? Lakini effort, hustle and hardwork on the court takes you a long way. And the irony in all of this is that Joel Anthony now plays for the Pistons, so he probably took the roster spot that Thabeet could have had.

Mkuu, si umeona enhee? Mimi huku Bongo ni mpenzi sana wa basketball na ni mfuatiliaji wa wachezaji wangu niwapendao kama kina Kobe, Iverson, Shaq, Zo (Alonzo Mourning), na wengine japo wengi waokwa sasa wamestaafu. Niliposikia kuna mtanzania anakwenda NBA kwa kweli sikuwa na uhakika ni nani then nikaja kusearch ndipo nikakuta ni Hahseem when he was at Uconn. Nilipenda clips zake Yuotube na zile block za kutisha mpaka Uconn ikatisha because of him. Alipokwenda NBA nilifurahi sana kwani nilijuwa Tanzania tumepata mtu in NBA. Jamaa akawa a bust kwa timu yake ya kwanza na akawa traded to The Rockets, kule pia akawa useless akapelekwa developmental league. Akarusishwa kwa muda mfupi then Rockets got rid of him kulikomfanya aende Thunder. Kule he never had any impact at all. Yote haya yapo kwenye maandiko through tovuti za hizo timu, yet watanzania watasema haterz wameanza tena. Yaani tumeweka ukweli kuwa uadui na chuki, why?
 
Ni kweli amepata pesa nzuri lakini kupata pesa is one part of the problem how you manage it is a different ball game. Statistics kwenye hiyo article ambayo nimeattach zinasema 60% ya former NBA player declare bankruptcy within five years of being out of the league. I hope jamaa alijipanga vizuri maana si unajua wabongo tunavyopenda kuona mtu kafulia. It's a really good article isome ukipata muda.
78% of NFL Players Go Bankrupt Within 5 Years & NBA Players In... - munKNEE dot.com
.

Si umeona enhee....Ila sasa ulichokosea ni kusema ama kumuomba jamaa asome hiyo article wakati unajuwa wabongo wengi hawapendi kusoma ila wanapenda kuambiwa tu hadithi na kuamini. Hakika, kama kweli Hasheem hajajipanga kiukweli atarudi huku Bongo na mfuko wa rambo, why? Ni kwa sababu jamaa hakupata mkataba mnono kwa timu alizochezea na kingine ambacho ni kikubwa zaidi ni kwamba jamaa amezaa na Mmarekani. Mimi si Mungu ila najuwa kuna dalili kubwa huyu demu wa Hasheem hawezi kuja ishi huku Bongo na Hasheem kwa sababu she's a groupie na she's there kuchuma tu, hivyo kuna uwezekano mkubwa wao kuachana na demu akapata custody ya mtoto wao. Kindumbwendumbwe kipo hapa sasa, kwani huyo mama na mwanawe watamkamua pesa Hasheem (child support) kila mwezi ama wiki mpaka atajuta kuzaliwa.
 
Sjui nini kilimpata huyu jamaa kwakweli hii bahati ataijutia sana
 
wabongo always huwa tuna mikosi linapokuja suala la michezo hatuna cha kujivunia! kuanzia taifa stars,riadha,kikapu na michezo mingineyo,...hii ishu imenikumbusha mrisho ngassa alivyofeli majaribio west ham na seattle sounders wakat kibongobongo ndyo alikuwa top player
 
How can a Tanzanian be an "All-American"?

All-American ni adjective yenye maana kadhaa kwenye Kiingereza cha Kimarekani na moja ya hizo maana ni kwenye muktadha wa michezo hususan kwenye shule/ vyuo vya Marekani.

Learner's definition of ALL–AMERICAN
1
: having qualities that are thought to be typical of people in the U.S. or that are widely admired in the U.S.
  • a wholesome all-American boy
  • her all-American optimism
2 sports
a : selected as one of the best in the U.S. in a particular sport
  • an all-American football player
  • He was all-American twice when he played college football.
b : having only all-American players
  • an all-American football team
3
: consisting entirely of Americans or of American elements
  • The tennis tournament will have an all-American final. [=both players in the final are American]
- all–American

noun, plural all–Americans [count]

  • He was an all-American in football.

Merriam-Webster
 
All-American ni adjective yenye maana kadhaa kwenye Kiingereza cha Kimarekani
Right, na kwa wengine ambao hatutumii hicho "Kiingereza cha Kimarekani" inakuwa ni kichekesho kwa Mtanzania kujiita "All-American."

Umetoka Tanzania umewashinda Wamarekani na washindani wengine kutoka dunia nzima, uko proudful with your foreign heritage, utaitwaje "All-American?" Ni kihoja. Ni muendelezo wa cultural hegemony ya nchi ambayo inatumia wanamichezo kutoka nchi nyingine lakini inawapa majina yenye sifa za kimarekani.

Halafu sio kila definition iliyoko kwenye kamusi inakubalika, kuna vitu vingine vikipingwa vinaenda vinabadilishwa. Kuna wakati "nigger" ilikuwepo kwenye dictionary kwa maana iliyokuwa inakubalika wakati ule wa plantation mentality. Na sio kila jina unalopewa unalikubali. Kuna wakati Muhammed Ali alikuwa anaitwa Cassius Clay.
 
Well, kama umetoka Tanzania kwa hiari yako kwenda kusoma chuo cha Wamarekani huko Marekani, ukaamua ucheze mchezo au michezo yao kwenye moja ya ligi za vyuo vyao kwa hiari yako na wao wakakupa skolashipu kutokana na umahiri wako, basi wana haki ya kukupa kila aina ya sifa watakayo.

Kwenye muktadha wa michezo ya vyuo 'all-american' haimaanishi huyo mtu ni Mmarekani kwa kila namna kama ambavyo fasili namba mbili inavyoonyesha kutoka kwenye kamusi ya Merriam-Webster.

Hata kamusi ya Oxford inafasili 'all-american hivi "(of a sports player) chosen as one of the best players in the US)". Hakuna mention ya uraia hapo.

Halafu sio kila definition iliyoko kwenye kamusi inakubalika, kuna vitu vingine vikipingwa vinaenda vinabadilishwa. Kuna wakati "nigger" ilikuwepo kwenye dictionary kwa maana iliyokuwa inakubalika wakati ule wa plantation mentality. Na sio kila jina unalopewa unalikubali. Kuna wakati Muhammed Ali alikuwa anaitwa Cassius Clay.

Nigger mpaka leo bado lipo kwenye kamusi za Oxford, Cambridge, Merriam-Webster, na zinginezo. Sasa sijui wewe unazungumzia "dictionary" gani!!!!!!!!!!!!

Kamusi ya Oxford - a very offensive word for a black person

Kamusi ya Cambridge - an extremely offensive word for a black person

Kamusi ya Merriam-Webster - offensive: a black person ◊ This is one of the most offensive words in English. Do not use this word.
 
Kaumri nako tuwe tunakaangalia ninawasiwasi kama huyu dogo Hasheem hakuchakachua umri maana ukimwona amekomaa sana kuliko hata wachezaji wa umri mkubwa.

hamna huo ndo umri wake hasheem kihalali maana form kamalizs 2005km sikosei
 
Hivi huwa najiulizaga sana inakuwaje waTANZANIA tunafurahia maanguko ya watu wengine...hasa wenzetu waliotupiga gape la kimaisha..hii inakuwaje jamani.....???
 
Hasheem anaonekana kama ameridhika na ndoto zake zimetimia..kashapata mia mbili anajua hata akiacha kikapu ataishi kwa dili nyingine
 
mi namkubali jamaa toka enzi za makongo tatizo nini thabeet dont let us down
pliiizzzz!!!!!

Labda ulikua unamkubali kwa urefu lakin Hashim wa Makongo alikua hajui hata ku dribble
 
Si umeona enhee....Ila sasa ulichokosea ni kusema ama kumuomba jamaa asome hiyo article wakati unajuwa wabongo wengi hawapendi kusoma ila wanapenda kuambiwa tu hadithi na kuamini. Hakika, kama kweli Hasheem hajajipanga kiukweli atarudi huku Bongo na mfuko wa rambo, why? Ni kwa sababu jamaa hakupata mkataba mnono kwa timu alizochezea na kingine ambacho ni kikubwa zaidi ni kwamba jamaa amezaa na Mmarekani. Mimi si Mungu ila najuwa kuna dalili kubwa huyu demu wa Hasheem hawezi kuja ishi huku Bongo na Hasheem kwa sababu she's a groupie na she's there kuchuma tu, hivyo kuna uwezekano mkubwa wao kuachana na demu akapata custody ya mtoto wao. Kindumbwendumbwe kipo hapa sasa, kwani huyo mama na mwanawe watamkamua pesa Hasheem (child support) kila mwezi ama wiki mpaka atajuta kuzaliwa.

Mtu hafanyi utafiti anategemea taarifa alizopewa na mtu afu hizo hizo anakubishia nazo mpaka kifo, yaani sisi wabongo sijui tukoje? Watu wanasikia kiasi cha hela in millions of dollars wanaona ni nyingi lakini sivyo. Kama sikosei jamaa alisign rookie contract ya miaka minne na alipata decent money kwa sababu ya his hight draft pick status. Lakini kama unavyosema ukitoa kodi, sijui agent fees,mara child support, pengine kusupport ndugu zake, kumbuka maisha ambayo alikuwa anaishi usikute hayakuwa ya kawaida huo mshahara wake sio mkubwa ki hivyo. Kina Antonio Walker walilipwa jumla ya $150 million dollars over the period of his career lakini leo hii he is bankrupt. Kupata hela amepata lakini kama hakujipanga imekula kwake maana wapo waliopata mara mia zaidi yake lakini pia bado wamefulia. Afu kama alirogwa akazaa na hao binamu zetu ndo basi tena, maana hapo ni child support kwa kwenda mbele for the next 18 years. I hope he signed a prenupt maana kama kuna kudivorce hapo ndo kabisaaaa. Ila Mungu amuepushie na ajipange upya. atafute timu China kama akikosa NBA bado anaweza kupata hela nzuri tu na akarudisha heshima yake kidogo kama Stephon Marbury

Salaries

[TABLE="class: sortable stats_table"]
[TR]
[TH="class: tooltip sort_default_asc, bgcolor: #DADCDE, align: center"]Season[/TH]
[TH="class: tooltip sort_default_asc, bgcolor: #DADCDE, align: center"]Team[/TH]
[TH="class: tooltip sort_default_asc, bgcolor: #DADCDE, align: center"]Lg[/TH]
[TH="class: tooltip, bgcolor: #DADCDE, align: center"]Salary[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]2009-10[/TD]
[TD="align: left"]Memphis Grizzlies[/TD]
[TD="align: left"]NBA[/TD]
[TD="align: right"]$4,458,840[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]2010-11[/TD]
[TD="align: left"]Houston Rockets[/TD]
[TD="align: left"]NBA[/TD]
[TD="align: right"]$4,793,280[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]2011-12[/TD]
[TD="align: left"]Houston Rockets[/TD]
[TD="align: left"]NBA[/TD]
[TD="align: right"]$5,127,720[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]2012-13[/TD]
[TD="align: left"]Oklahoma City Thunder[/TD]
[TD="align: left"]NBA[/TD]
[TD="align: right"]$1,200,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]2013-14[/TD]
[TD="align: left"]Oklahoma City Thunder[/TD]
[TD="align: left"]NBA[/TD]
[TD="align: right"]$1,200,000[/TD]
[/TR]
[TR="class: stat_total, bgcolor: #DADCDE"]
[TD="align: left"]Career[/TD]
[TD="align: left"](may be incomplete)[/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[TD="align: right"]$16,779,840[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Pistons waive former No. 2 overall pick Hasheem Thabeet.
Thabeet was waived along with Brian Cook, Lorenzo Brown and Josh Bostic. It's unclear if another team will take a chance on Thabeet, which would close the book on one of biggest draft busts of the last 10 years -

Hasheem Thabeet NBA & ABA Stats | Basketball-Reference.com
 
poor him going down as one of the burst top ranked draftees in recent history...
cc: LebronWade, Ambitious

Mkuu jamaa growth curve yake iliwahi kufika pick mapema alipokua Connecticut....Halafu alidanganya umri,alikua man among boys ndio maana alionekana yupo ahead ya wenzake alipokua NCCA...

Alikua drafted entirely coz of "Potential" na sio alikua anayaweza kivile alipokua college....msela anafanya zoezi kinoma na ni Gym Rat ila tatizo hana talent kabisa.....Offense game yake ni sifuri kabisa,na watu walitegemea basi a-excel kwenye defense nako huko ndio haja-perfect kabisa.

Alianza kuyaharibu yaani from day go kwenye Summer League ya rookie season yao 2009...

Anatetewa kua alichelewa kuanza kucheza kikapu akiwa na 15years....hiyo ni excuse tu kwani Serge Ibaka wa OKC nae alichelewa hivo hivo,let alone legend Hakeem Olajuwon ndio alichelewa kabisa...

Waliochaguliwa after him kama James Harden and Steph Curry ni legit mega superstars
 
Back
Top Bottom