Ni kweli amepata pesa nzuri lakini kupata pesa is one part of the problem how you manage it is a different ball game. Statistics kwenye hiyo article ambayo nimeattach zinasema 60% ya former NBA player declare bankruptcy within five years of being out of the league. I hope jamaa alijipanga vizuri maana si unajua wabongo tunavyopenda kuona mtu kafulia. It's a really good article isome ukipata muda.
78% of NFL Players Go Bankrupt Within 5 Years & NBA Players In... - munKNEE dot.com
Afu hizo hizo scrub minutes alizokuwa anapewa angezitumia vizuri angekuwa bado ana timu. Wachezaji wangapi kibao hawana stats za kutisha lakini wana timu kwa sababu ya hustle wanaoiyonyesha when they get on the court? Anyone remember Joel Anthony? (
Joel Anthony - Wikipedia, the free encyclopedia) Jamaa at one point alikuwa starting center for Miami Heat, Joel Anthony STARTING CENTER!!? He also is a two-time NBA Champion. Sasa niambie Joel Anthony na Thabeet wapi kwa wapi in terms of natural talent and physical gifts? Lakini effort, hustle and hardwork on the court takes you a long way. And the irony in all of this is that Joel Anthony now plays for the Pistons, so he probably took the roster spot that Thabeet could have had.