Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

Jinsi wanavyouawa wale viongozi wa mwanzo mwanzo ndivyo kile kizazi chao kinapozidi kupotea,maana yake hakuna tena viongozi wa hayo makundi ambao watakuwa wana msimamo kama ambao walikuwako kabla.
 
Na yeye tunamwua! Hicho kiti hakikalii hata miezi mitatu!
 
Ukute ndiye aliyeuza ramani ya kumlengesha mwenzake kwa Israel .

Waarabu ni kama Waafrika kusalitiana
 
Kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah kimeniuma kiukweli.

Sote ni wa Allah na kwake tutarejea.

Wapange safu upya siyo mbaya!
Usiumie katika dhambi mbaya ni kukataa tamaa. Wapalestina wangekata tamaa kudai nchi Yao Leo hii kusingekua na hii vita.
 
Hezbollah Huwa hawafichi taarifa .hii wametangaza wenyewe official tofauti na Israel Leo asubuhi kapigwa ballistic missiles Tel Aviv kazuia media zisitowe taarifa.
Sasa wewe si uweke hapa hizo taarfa kutoka uko uliko zotoa ama wewe ni Secrete Service wa wa houthi!?🤣🤣
 
Hata Marehemu Nasrallah alirithi mikoba baada ya mtangulizi wake kuuawa na shambulio la Israel....

Hezbollah na Iran wamepata pigo.
 
Huyu kabla hata hamjajulishwa huko masjid kwenu IDF, Mossad, walishamjua miaka mingi kabla hivyo naye watammaliza vizuri tu.
 
Hawa ni watu waliochagua kufa na sio kuiishi Dunia bali kusimamia wanachokiamini.

Ni watu wanaoamini kuna siku watapata ushindi na kuwa mashujaa wa vizazi na vizazi.
 

Kichwa kikingine kinaelekea KIBLA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…