Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

Wanacho pambania ni nini?
 
Wewe mbona hauendelezi huo U jihad hapo bagamoyo kwa shemeji yako,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naendeleza nikiwa hapa JF . Halafu Mimi ni mkatoliki " pure" siyo wa kuunga unga ila sipendi uonevu.
 
Hezbollah Huwa hawafichi taarifa .hii wametangaza wenyewe official tofauti na Israel Leo asubuhi kapigwa ballistic missiles Tel Aviv kazuia media zisitowe taarifa.
Wamemuua nani? Netanyahu au nani? Wenzao Wana target wanalenga viongozi wa magaidi tuu na furushi la ndevu zao na hawana time na raia wema. Sasa wao wanajirushia tuuakombora hovyo ?
 
Wamemuua nani? Netanyahu au nani? Wenzao Wana target wanalenga viongozi wa magaidi tuu na furushi la ndevu zao na hawana time na raia wema. Sasa wao wanajirushia tuuakombora hovyo ?
Enemy Military bases and Other infrastructure sufferers huge losses within the Occupied Land of Palestine
 
Sifurahii kifo cha mtu, isipokuwa nafurahia teknolojia waliyoitumia kumchinjia.

Bomu la kufukua handaki mita 20 kwenda chini, hata Mmarekani kaapa kwamba hajawahi kuitumia wala hajawahi kuwa nayo.

Baada ya maangamizi hayo, Israel wamemueleza Iran kuwa wasimchukulie poa kwa kumletea ngebe zao, watamuondoa kiongozi yeyote yule anayeonesha chuki za dhahiri dhidi ya Taifa la Israel.

Na kweli Irani wameona kwamba Israel hajawahi kutoa vitisho, yeye hutenda.

Kwa sasa Mheshimiwa Ayatolah Khameni kafichwa kusikojulikana.
 
Hii vita ikiendelea miaka miwili mbele marekani anakufa nayo na usupa power wake wa mchongo.tuko hapa.
 
Hayo mabomu " Bunker buster" yametolewa na marekani na Jana wametangaza kuongeza msaada wa Dola Bilioni 8 kwa Israeli na Ukraine Kila mmoja kwa kifupi hizi vita zote mbili anapigana USA na atakufa nazo muda siyo mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…