Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Ukiuliza wakutajie mfalme au rais wa palestina watakutajiq ni arafat ambaye ni mzaliwa wa misrindugu yangu, israel hakalii eneo hata moja la wapalestina, lile ni eneo lao. wapalestina ni wahamiaji wa kiarabu na kimisri wao wenyewe wameongea hilo na wanajijua. hapajawahi kuwepo nchi inaitwa palestina, hapajawahi kuwepo rais au mfalme wa kitu kinachoitwa palestina. ni jina tu la wahamiaji waliovamia nchi ya kiyahudi baada ya wayahudi kukimbia nchi tangu kipindi cha mfalme Nebukadreza na hawakuondoka wote, wapo wayahudi vizazi vilibaki pale hadi leo.
Ukweli ni kwamba hakukuwahi kuwa na mfalme au rais wa palestina