Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

ndugu yangu, israel hakalii eneo hata moja la wapalestina, lile ni eneo lao. wapalestina ni wahamiaji wa kiarabu na kimisri wao wenyewe wameongea hilo na wanajijua. hapajawahi kuwepo nchi inaitwa palestina, hapajawahi kuwepo rais au mfalme wa kitu kinachoitwa palestina. ni jina tu la wahamiaji waliovamia nchi ya kiyahudi baada ya wayahudi kukimbia nchi tangu kipindi cha mfalme Nebukadreza na hawakuondoka wote, wapo wayahudi vizazi vilibaki pale hadi leo.
Ukiuliza wakutajie mfalme au rais wa palestina watakutajiq ni arafat ambaye ni mzaliwa wa misri
Ukweli ni kwamba hakukuwahi kuwa na mfalme au rais wa palestina
 
Ha ha ha ha ballistic missile ubaijua wewe? Ushushiwe hio utaficha nini? Kishindo na vumbi lake hadi Beirut lingeonekana.
Hayo wanayapiga sana tatizo Israel anajitahidi sana kuzuia taarifa zisitoke ila muda itafika watashindwa kuficha taarifa. Ballistic missiles ni mambo ya kawaida sana hapo Yemen wanayapiga Kila siku baharini.
 
Mmeshindwa kumaliza ushoga tanzania sembuse huko kwingine ebu tuachane ndoto za alinacha tanzania tu hapa mashoga wanajionyesha waziwazi bila kificho
ukikomeshwa huko kwa waanzilishi hivi vishoga vya hapa vitaufyata
 
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
NB. Hii nafasi Kila member wa Hezbollah alikuwa anaomba Mungu amsaidie aweze kuipata.
Tukwambie au tusikwambie?
 
Wao wanajua atakuja mwingine lkn lazima kuwe na utofauti .
Jezi no.10 pale Barcelona itavaliwa na wachezaji wengi lkn kumpata wa kiwango cha LEO M ni kubahatisha tu.

Kwani yeye ndiye anayepigana kwenye front ??
 
Hayo mashimo labda wayadizaini kama yale ya vita vya Vietnam na USA: kona, kona, kona nyingine, kona tena ndiyo unamfikia 'kingunge'!

Hapo hakuna cha simu, hata ile ya kukoroga wala Radio call.

Ni messanger tu ndiye anayefanyakazi ya kutuma na kupokea barua zote ama kuagizwa kwa mdomo.

Barua hizo zinafunguliwa na kupitishwa maabara na kisha kusomwa kabla ya kukabidhiwa kwa boss.

Na mahandaki ya aina hiyo lisiwe ni moja, yawe ni mengi, leo anakaa hapa, kesho sehemu nyingine na chale zikimcheza kidogo tu anahama muda wowote.

Ni maisha zaidi jela.
Kuna mabomu hayafukui ila yanagandamiza hio ardhi inakuwa ngumu zaidi ya jiwe, nadhani USA aliyatumia kule Afghanistan.
 
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
NB. Hii nafasi Kila member wa Hezbollah alikuwa anaomba Mungu amsaidie aweze kuipata.
Ameshaliwa kichwa yakhe

 
Back
Top Bottom