Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Teh teh,hicho kiwanda cha viatu kilikuwepo enzi na enzi uliza watu wa Karanga watakuambia bila kusahau wauza ngozi wa Moshi na Arusha,hicho cha maji cha suma jkt kilikuwepo tangu enzi ya Kikwete,kiwanda cha dawa za viatu kilikuwepo tangu enzi ya Mkapa.1.Kiwanda cha viatu cha Magereza Kilimanjaro
2.Kiwanda Cha maji ya kunywa cha JKT
3.Kiwanda cha dawa za viatu cha Kangaroo (Bagamoyo)
Au navyo vimeletwa wakati wa Mama!!
Aisee Mzee wa I'll let the ocean to go😁Desparate!
Kwani mshikishwa ukuta ataishi milele?Tunamshukuru Mungu kumuua dikteta.
Ndo maana hajatajakiwanda gani. Ukute ni hivi vya asasAcha uwongo. Hicho kiwanda kilijengwa na serikali? Kinaitwaje?
Jiwe alikuwa tapeli. Legacy ziiiiiiiiiiio!!!!!!!
Anayeiba bila sibu na kukazimisha kupenda ndo mwenye akili... Yaan Rais unasimama na kusema jamani si mnanipenda? ShitMtu anaomba kura kupitia ubwabwa uadhani anayo akili huyo.
#MaendeleoHayanaChama
Hoja hujibiwa kwa hoja... Mtajie kiwanda kimoja !!Huyo mzee Anazeeka,hata sisi Sote Tutazeeka isipokuwa yeye Anazeeka Vibaya..!
Anayo sifa Ya Kung'ang'ania Nafasi Kama Rafiki Yake Mbowe...... Hivi mmeshamuuliza 2025 Atagombania tena Uraisi na Zile Sera Zake Za 'Ubwabwa'..
Hakuna hata cha kusingiziwa. Yule mtu alikuwa ni futuhi originalAhsante mzee Rungwe, yaani tulikuwa mazoba kweli. Viwanda vinafunguliwa mara mbili mbili. Tumeona viwanda alivyofungua Kikwete vinafunguliwa tena. Kweli tuonyesheni viwanda vilivyojengwa na Magufuli
Kitaje. Kilijengwa lini? Na nani?Mwaka 2018 tarehe 02 mei Hayati Magufuli alifungua kiwanda kikubwa Sana kule Iringa na siku hiyo nilikuwepo ,nimekupa mfano hai kabisa. Haya huyo Babu anaposema uongo anamaanisha nini?
Kiukweli waumini wa legacy wanapata taabu sana kumtetea yule msaniiNdo maana hajatajakiwanda gani. Ukute ni hivi vya asas
Bagamoyo sugar, ni kikubwa ktk uwanda wote wa AMVya Magereza siyo viwanda bali ni vitengo vya adhabu vya wafungwa.
Hoja ya mtu mwenye cheti hiyo? Ungeonesha usomi wako kwa kujibu hoja yake kuhusu viwanda , msomi kutoka nje ya mada na kuanza kupiga ngumi upepo ni tatizo....!!!Acha Kuvitetea hivi 'Vibabu' Mbowe na Rungwe..... yaani Watu tupo shule za Sekondari vyenyewe vipo kwenye nafasi Ya Mwenyekiti..! Tukapiga hatua Vyuo bado vipo Palepale...!
Tumebangaliza Wee mtaani na bahasha Za Vyeti kutafuta kazi hapa na pale na Sasa Tupo sehemu tunapiga Mzigo..!
Kutahamaki Bado hivi Vizee Vipo pale pale..! Hivi Katiba Zao huko Zinasemaje jama.?
Madai ya Katiba mpya ni Bora Yangeanzia ndani Ya Vyama..!
Haiwezekani Wewe uwe na Kiongozi tena nafasi M/kiti hujui Ukomo wa Nafasi Hiyo ni lini...? Watu wanapokezana vijiti Yeye Kavimba tu...!
Uliza nini Kimefanyika nitiririke kile ambacho tangu Uhuru watangulizi Walijitahidi kufanya wakapata changamoto ya Panya buku.....
Kwa nini kwenye kampeni awamu ya pili wimbo wa Tanzania ya viwanda ulikufa? Uliwahi msikia Jiwe akijinadi kwa viwanda?
Kwa miaka 6 alijenga viwanda 3 tuu sio? 😂😂
Hawezi kutaja kwa sababu ndio kwanza aliwafukuza wawekezaji..Nilimfuatilia vizuri wakati wa kampeni ataje Tanzania ya viwanda itakuwa ya Magufuli, hakutaja neno hilo hata kwa bahati mbaya! Kuna mtu anaitwa Jingalao nilikuwa mpaka namtania mbona mungu wake hataji Tanzania ya viwanda kwenye kampeni? Huyo niliweka naye uzi kabisa hapa wa mambo ya viwanda toka 2016. Kila mwaka nilikuwa namuuliza anipe mrejesho wa viwanda, hadi alikuwa anaona aibu.
Mtu anaomba kura kupitia ubwabwa uadhani anayo akili huyo.
#MaendeleoHayanaChama
Viwanda hivi vilikuwepo kabla ya 2015... Mf magereza ni Cha enzi ya JK Nyerere.1.Kiwanda cha viatu cha Magereza Kilimanjaro
2.Kiwanda Cha maji ya kunywa cha JKT
3.Kiwanda cha dawa za viatu cha Kangaroo (Bagamoyo)
Au navyo vimeletwa wakati wa Mama!!
Ule UCHAFUZI ulimuondolea hata heshima ndogo, niliyokuwa nimembakishia!Bora aliyeomba kura kwa ubwabwa, kuliko aliyeshurutisha vyombo vya dola na tume ya uchaguzi kumtangaza kwa idadi ya kura za kupika.