Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Teh teh,hicho kiwanda cha viatu kilikuwepo enzi na enzi uliza watu wa Karanga watakuambia bila kusahau wauza ngozi wa Moshi na Arusha,hicho cha maji cha suma jkt kilikuwepo tangu enzi ya Kikwete,kiwanda cha dawa za viatu kilikuwepo tangu enzi ya Mkapa.1.Kiwanda cha viatu cha Magereza Kilimanjaro
2.Kiwanda Cha maji ya kunywa cha JKT
3.Kiwanda cha dawa za viatu cha Kangaroo (Bagamoyo)
Au navyo vimeletwa wakati wa Mama!!