Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

1.Kiwanda cha viatu cha Magereza Kilimanjaro
2.Kiwanda Cha maji ya kunywa cha JKT
3.Kiwanda cha dawa za viatu cha Kangaroo (Bagamoyo)
Au navyo vimeletwa wakati wa Mama!!
Teh teh,hicho kiwanda cha viatu kilikuwepo enzi na enzi uliza watu wa Karanga watakuambia bila kusahau wauza ngozi wa Moshi na Arusha,hicho cha maji cha suma jkt kilikuwepo tangu enzi ya Kikwete,kiwanda cha dawa za viatu kilikuwepo tangu enzi ya Mkapa.
 
Magu alimfukuza wenye vyet feki afu makonda kamwacha...
Kafukuza Walimu wenye vyet feki afu kawa acha wanafunzi waliofundishwa na wenye vyeti feki.
Kafukuza manesi nk kawa acha wagonjwa waliotibiwa na wenye vyeti feki....
 
Mtu anaomba kura kupitia ubwabwa uadhani anayo akili huyo.

#MaendeleoHayanaChama
Anayeiba bila sibu na kukazimisha kupenda ndo mwenye akili... Yaan Rais unasimama na kusema jamani si mnanipenda? Shit
 
Huyo mzee Anazeeka,hata sisi Sote Tutazeeka isipokuwa yeye Anazeeka Vibaya..!

Anayo sifa Ya Kung'ang'ania Nafasi Kama Rafiki Yake Mbowe...... Hivi mmeshamuuliza 2025 Atagombania tena Uraisi na Zile Sera Zake Za 'Ubwabwa'..
Hoja hujibiwa kwa hoja... Mtajie kiwanda kimoja !!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ahsante mzee Rungwe, yaani tulikuwa mazoba kweli. Viwanda vinafunguliwa mara mbili mbili. Tumeona viwanda alivyofungua Kikwete vinafunguliwa tena. Kweli tuonyesheni viwanda vilivyojengwa na Magufuli
Hakuna hata cha kusingiziwa. Yule mtu alikuwa ni futuhi original
 
Acha Kuvitetea hivi 'Vibabu' Mbowe na Rungwe..... yaani Watu tupo shule za Sekondari vyenyewe vipo kwenye nafasi Ya Mwenyekiti..! Tukapiga hatua Vyuo bado vipo Palepale...!

Tumebangaliza Wee mtaani na bahasha Za Vyeti kutafuta kazi hapa na pale na Sasa Tupo sehemu tunapiga Mzigo..!

Kutahamaki Bado hivi Vizee Vipo pale pale..! Hivi Katiba Zao huko Zinasemaje jama.?
Madai ya Katiba mpya ni Bora Yangeanzia ndani Ya Vyama..!

Haiwezekani Wewe uwe na Kiongozi tena nafasi M/kiti hujui Ukomo wa Nafasi Hiyo ni lini...? Watu wanapokezana vijiti Yeye Kavimba tu...!
Uliza nini Kimefanyika nitiririke kile ambacho tangu Uhuru watangulizi Walijitahidi kufanya wakapata changamoto ya Panya buku.....
Hoja ya mtu mwenye cheti hiyo? Ungeonesha usomi wako kwa kujibu hoja yake kuhusu viwanda , msomi kutoka nje ya mada na kuanza kupiga ngumi upepo ni tatizo....!!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini kwenye kampeni awamu ya pili wimbo wa Tanzania ya viwanda ulikufa? Uliwahi msikia Jiwe akijinadi kwa viwanda?

Kwa miaka 6 alijenga viwanda 3 tuu sio? 😂😂

Nilimfuatilia vizuri wakati wa kampeni ataje Tanzania ya viwanda itakuwa ya Magufuli, hakutaja neno hilo hata kwa bahati mbaya! Kuna mtu anaitwa Jingalao nilikuwa mpaka namtania mbona mungu wake hataji Tanzania ya viwanda kwenye kampeni? Huyo niliweka naye uzi kabisa hapa wa mambo ya viwanda toka 2016. Kila mwaka nilikuwa namuuliza anipe mrejesho wa viwanda, hadi alikuwa anaona aibu.
 
Viwanda vyote vinavyozalisha nguzo za Tanesco, yule mzee hata viwanda hivyo kaacha kukumbuka
 
Nilimfuatilia vizuri wakati wa kampeni ataje Tanzania ya viwanda itakuwa ya Magufuli, hakutaja neno hilo hata kwa bahati mbaya! Kuna mtu anaitwa Jingalao nilikuwa mpaka namtania mbona mungu wake hataji Tanzania ya viwanda kwenye kampeni? Huyo niliweka naye uzi kabisa hapa wa mambo ya viwanda toka 2016. Kila mwaka nilikuwa namuuliza anipe mrejesho wa viwanda, hadi alikuwa anaona aibu.
Hawezi kutaja kwa sababu ndio kwanza aliwafukuza wawekezaji..

Leo hii Samia akisema aanze kuzindua sijui viwanda atashindwa kufanya majukumu mengine maana kila kukicha vinaota.
 
1.Kiwanda cha viatu cha Magereza Kilimanjaro
2.Kiwanda Cha maji ya kunywa cha JKT
3.Kiwanda cha dawa za viatu cha Kangaroo (Bagamoyo)
Au navyo vimeletwa wakati wa Mama!!
Viwanda hivi vilikuwepo kabla ya 2015... Mf magereza ni Cha enzi ya JK Nyerere.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Bora aliyeomba kura kwa ubwabwa, kuliko aliyeshurutisha vyombo vya dola na tume ya uchaguzi kumtangaza kwa idadi ya kura za kupika.
Ule UCHAFUZI ulimuondolea hata heshima ndogo, niliyokuwa nimembakishia!
Hakuwa kiongozi tena Bali aligeuka kuwa mtawala dikteta katika macho yangu!
 
Mzee hajakumbuka hata kile kiwanda tu cha kusafisha dhahabu pale Mwanza?

Ama kweli, kila mtu na ukiwaa chake
 
Back
Top Bottom